Pete ya uchumba

kikwakwa

Senior Member
Dec 20, 2011
105
12
habara wana jf!naomba kujuzwa unapomvalisha bint pete ya uchumba kuna maneno yeyote unayatamka au unamvusha kimyakimya tu?
 
Mkuu kwani umekuwa bubu mpaka ukose maneno ya kumwambia mpenzi wako au mchumba wako mtarajiwa
hayana formula ni wewe tuu na mapenzi yako na unavyompanda mwenzako
Mambo mengine yanakuja yenyewe bana hayahitaji utumie nguvu kubwa kama unasukuma gari
 
mkuu ujue ntamvisha mbele ya wakwe ck ya kutoa mahari ndo mana nimeuliza hivyo,ingekuwa tunavishana wawili tu mbona simpo maneno yapo mengi.
 
Hapa ndio mimi naona huwa tunakosea kwenye hili swala la kuvishana pete. Mi nadhani kitendo cha kumvika msichana pete kinatakiwa kiwe "sapraiz" ili sasa uweze kumuuliza "wili yuu meri mii?" Sasa ukishamuambia unakuja kumvika pete nyumbani kwao, au kama wengine wanavyofanya sherehe ya kumvika mtu pete, si tayari anakua ameshajua utamvika pete? Kwahiyo kitendo cha kuja kwene hiyo sherehe ni kwamba ameshakubali!
 
hjui kama ntamvisha siku hiyo ye anajua mi ntaenda kutoa mahari 2 basi.
 
Hivi mahari ikitolewa na binti anakuwepo nyumbani kwao??

huna haja ya kupewa maneno hapa ndani na kwenda ku-recite kama ngonjera/shairi. ikifika hiyo siku na muda maneno yatakuja yenyewe automatically and if you really mean well.

Pia ingependeza na kuwa yenye hisia zaidi kama mngekuwa wawili tu sijui mi navyoonelea ni ushauri tu lakini usije nitoa macho...
 
Mwambie kilichokua moyoni mwako mtizame kwa jicho la huba na usimuangalia kwa uwoga sababu wazazi wake wapo kua mwanamme wakisawa sawa mtizame lakini usimtishe ukamkodolea macho yale ya nakupa pete ukinikwaa tuu utanitambua....
 
Nakupenda......., nafurahi na ninaheshimu uhusiano mzuri ambao tumekuwa nao,na leo hii ninaomba heshima ya kuwa mume wako na Mungu akitupa bahati uwe mama wa watoto wangu...Naomba pete hii iwe alama na muendelezo wa uhusiano mzuri kuelekea kwenye ndoa.
 
hii nzuri sana though hutakiwi ku copy and paste km ilivyo tafuta maneno yako but yawe ktk mtiririko huu..wewe michelle wewe..
 
Mimi nionavyo ili uwe hata na mawili / matatu ya kusema, usimwambie unaenda kumvisha pete, ila siku anakuambia anaenda kukutambulisha kwa wazazi wake ndo wakati unatambulishwa na bint kuulizwa ni yupi (maana hutakuwa peke yako) unayempenda na akakutaja akaulizwa mawili matatu na wazazi wake baada ya kufikia tamati ndo umuite bint kwa ridhaa ya wazazi wake mbele yao na hapo unaweza ukawa na mawili matatu ya kumwambia mpenzi wako na hayo unayomwambia yanaambatana na kumvisha pete.
 
hii nzuri sana though hutakiwi ku copy and paste km ilivyo tafuta maneno yako but yawe ktk mtiririko huu..wewe michelle wewe..

Gozo acha uchokozi sijakopi mahali,nimekumbukia tu maneno yanayosemwa wakati wa hatua hii nikaunga nikaandika....wewe Gozo wewe....!
 
Nakupenda......., nafurahi na ninaheshimu uhusiano mzuri ambao tumekuwa nao,na leo hii ninaomba heshima ya kuwa mume wako na Mungu akitupa bahati uwe mama wa watoto wangu...Naomba pete hii iwe alama na muendelezo wa uhusiano mzuri kuelekea kwenye ndoa.
michelle we ni noma umenitoa porini umenileta barabrani kwa hiyo mistari yako,thnx dada.
 
Nakupenda......., nafurahi na ninaheshimu uhusiano mzuri ambao tumekuwa nao,na leo hii ninaomba heshima ya kuwa mume wako na Mungu akitupa bahati uwe mama wa watoto wangu...Naomba pete hii iwe alama na muendelezo wa uhusiano mzuri kuelekea kwenye ndoa.

Uko juu dada Michelle!!!
 
Mkuu kwani umekuwa bubu mpaka ukose maneno ya kumwambia mpenzi wako au mchumba wako mtarajiwa
hayana formula ni wewe tuu na mapenzi yako na unavyompanda mwenzako
Mambo mengine yanakuja yenyewe bana hayahitaji utumie nguvu kubwa kama unasukuma gari

hakuna kiapo ila u can just say what u feel from ur heart
 
Nakupenda......., nafurahi na ninaheshimu uhusiano mzuri ambao tumekuwa nao,na leo hii ninaomba heshima ya kuwa mume wako na Mungu akitupa bahati uwe mama wa watoto wangu...Naomba pete hii iwe alama na muendelezo wa uhusiano mzuri kuelekea kwenye ndoa.

waaoh. such romantic and lovely words ever heared before
 
Back
Top Bottom