Sorry! Mahari inalipwa nyumbani, hilo tukio la kuvishana pete ndio linafanyika kanisani.
Ukishalipwa mnaenda ibadani kumvisha hiyo pete.
Hivi ndivyo ninavyojua mimi.
Hakuna uchumba kama bado mahari haijalipwa.
acha kupoteza resources zako..we piga mimba huyo manzi then tulia usikilizie wazazi wake wanasemaje,wakileta mdomo mdomo warushie laki mbili kwa m pesa wakafie mbele.