Uncensored
New Member
- Jul 16, 2017
- 4
- 5
Nataka kuwe na sherehe. Nachotaka kujua ni lazima ihusishwe familia au tunaweza kufanya bila family, tukiwa na marafiki na jamaa pekee?Sasa kumvalisha unaogopa au unatakaje
We mtu upo fasta kurepply duuhSasa kumvalisha unaogopa au unatakaje
Familia lazima iwepo za pande zote mbili...siku hz wanaunganisha na mahari hapo hapoNataka kuwe na sherehe. Nachotaka kujua ni lazima ihusishwe familia au tunaweza kufanya bila family, tukiwa na marafiki na jamaa pekee?
Post sent using JamiiForums mobile app
Familia ya pande zote, ndugu,jamaa na rafiki ni muhimu mkuu...( ila sio wengi sana)Nataka kuwe na sherehe. Nachotaka kujua ni lazima ihusishwe familia au tunaweza kufanya bila family, tukiwa na marafiki na jamaa pekee?
Post sent using JamiiForums mobile app
kawaida tuWe mtu upo fasta kurepply duuh
Post sent using JamiiForums mobile app
Ha ha mnataka mashahidi eh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Familia kuwepo ni muhimu. . Hizo za kujifanya wazungu kuvalishana mkiwa dinner wawili hapana, ukija kumkana
We mwanao akija na pete mkononi akakwambia "I am engaged" wakati mtu wake hajafika nyumbani kugonga hodi, utajisikiaje?Ha ha mnataka mashahidi eh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We mwanao akija na pete mkononi akakwambia "I am engaged" wakati mtu wake hajafika nyumbani kugonga hodi, utajisikiaje?