aToka lini mcongo akaowa mtz?yaani labda huyo mtanzania alete benefit kwa huyo mcongo other wise ni ngumu sana,hawa wanaowa wazungu ili wapate papers,yaani katika yote hawa ni maopportuniste
Jamaaa umeniua kwa kicheko yeuwiiiii aueiiiii yelewiiiiiKuna mmoja huku kitaani kavalishwa pete gesti ila hizo mbwembwe zake sasa..Watu wanakoma
Hili la kupima nalo neno ........... maana sio kwasababu ya Wolper ila maisha yenyewe tu sio, japo hayo ya maisha ya nyuma ya mtu si tatizo kwani waswahili wanasema ukimchunguza sana bata huwezi kumla.hihihiii kakolea sio? na wanapimaga kweli au hawa madogo wanaamua kujitroa akili wanawake wenyewe wanatiana hadi na mashetani
Haya ndio matokeo ya kuvishana pete za uchochoroni eti surprise!
Wazazi hawana hili wala lile wanashangaa kusikia mtoto wao kavishwa pete ya uchumba,mwanaume hata nyumbani hajulikani.
Na mdada akishavishwa hiyo pete ya uchochoroni ndio anajiolesha kabisa,kila kifanywacho na mke wa ndoa anakifanya.
Huyo mwanaume atakuoa kwa misingi gani?
Tubadilike wadada,haya mambo ya show off kuwakomesha mashoga na ma ex zetu yakome sasa.
La sivyo tutabaki kulia kila siku.
Hakuna uzi kama huo.Nilisikia wanasema ana kiharufu fulani hivi mashineni ambacho kinakinahisha. Kuna uzi huo humu jamvini, kama anayo hiyo link aiweke.
Yetu macho ngoja tusubiri
UMEONGEA POINT MKUUnadhani kuna kitu inabidi ajifunze kwa Wastara,
Wastara huwa hatuoni pete lkn huwa tunaskia kaolewa au kaachika,namkubali sana wastara