My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,602
- 11,885
Yani nacommnent ili mradi Uzi ukae kwnye Participated nikirefresh urudi juu alaf nisome [emoji16][emoji16]
Usisahau kutoa code za shekhe[emoji123]Asante kwa kunielewesha. Nilishindwa kung'amua kuwa kile ni kito zaidi ya kuita kidani.
Umecheza Kama modi[emoji38][emoji38]
Nadhani katoa jina kwenye series ya Breaking bad.Mkuu Heisenberg
we ni mswidish?? Au jina tu??