Mostwanted boy
Senior Member
- Aug 24, 2013
- 115
- 10
nataka kumvisha pete mpenzi wangu, nimeaanda 20,000/=. Je ni pete rangi gani ambazo mabinti wanazipenda zaidi? Msaada wenu wanajamvi. Asanteni!

elfu ishirini any way za ring
atakua kasahau sifur moja!
Wanapenda hizi hapa mkuu
View attachment 122919
Elfu 20 kdg kaka.
View attachment 122927View attachment 122928 nadhani hizi ni nzuri and so sweet for girls ila kwa hiyo pesa yake inahitaji namba zaidi mbele...
View attachment 122927View attachment 122928 nadhani hizi ni nzuri and so sweet for girls ila kwa hiyo pesa yake inahitaji namba zaidi mbele...
elfu ishirini any way za ring
Ha ha ha ha waleta utani ww na vidole vya watu khaaa!!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu pete gani hiyo ya elfu ishirini? nakumbuka mimi nilinunua pete mwaka 2010 na gram moja ya gold ilikuwa inauzwa elfu 60, sasa utahitaji japo gram tatu na kwa sasa nadhani itakuwa bei iko juu zaidi, andaa angalau kuanzia laki mbili ndo unaweza kupata pete ya maana kidogo.
Elfu 20!!!!!!