Ngoja tumfikishie taarifa Frank Mtei,mmiliki wa Pestana, aje asome ujumbe wake huku Mkuu!
By the way ni mtu msikivu,tu naamini atayafanyia kazi!
[emoji23] [emoji23]Hata mimi nimeipenda hiyo misamiati ya kizungu. Ila nimeelewa kabisa kabisa story yake. anasema kuna pub hapo Dodoma ni nzuri sana, aliona hata wabunge na viongozi wengine wa serikali wanakula hapo pamoja na madreva wa magari ya mizigo. Halafu kuna wadada walilewa wakaanza kupigana hadharani, polisi wakawasomba, mmoja akang'atwa mgongoni na polisi kwa kuwa alikuwa ana kaidi kwenda kituoni, ikabidi polisi atumie risonabo pawa.....
(Raha sana mtu ukiwa unajua ki english thread kama hii unaisoma tu na kuelewa haraka bila shida yoyote)
Kuna comment hapo nilisema.. wanaangalia mtu na mtu.. babu Malcolm analalamika kuwa wanachelewesha sana msosiLakini mimi nshaenda kama mara 2 hivi, nliagiza Chakula ndani ya dakika 20 nliletewa chakula, na nlihudumiwa na mdada mmoja mstaarabu sana
Ooooh sawa Mkuu sikuionaKuna comment hapo nilisema.. wanaangalia
so unaendaga hapo weekend mkuu??Ooooh sawa Mkuu sikuiona
No,nkipataga safari ya Dom, maana siishi hukoso unaendaga hapo weekend mkuu??
Ouk sawa mkuu me nafanya job pale upande wa soundNo,nkipataga safari ya Dom, maana siishi huko
Poa poa,panapo majaliwa siku nikija nakuchekiOuk sawa mkuu me nafanya job pale upande wa sound
haina noma mkuuPoa poa,panapo majaliwa siku nikija nakucheki
@heaven sent ndio kanielewesha hivyo.Kumbe wewe sio mwenzangu aisee[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Umeelewa???[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Mnaongelea copy and paste au kitu gani?@heaven sent ndio kanielewesha hivyo.
Mwambieni ule mziki wake ni shida pia... Very poor atafute mziki/sound system unaoeleweka!Ngoja tumfikishie taarifa Frank Mtei,mmiliki wa Pestana, aje asome ujumbe wake huku Mkuu!
By the way ni mtu msikivu,tu naamini atayafanyia kazi!
Teh teh teeeeh!!Mnaongelea copy and paste au kitu gani?