Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,077
- 34,850
mukulu sijakuelewa fafanua una maana gani???au ni matatizo ya lugha yetu hii hii ya kiswahili...plzz fafanua ili tukuelewe vizuri.Pesa za US pia,ukiwa Tanzania zina faida,ukiwa USA,ni makaratasi tu.
hata hapa bongo ni hayohayo pesa yetu nayo bure tu ukienda mwanza kuku mmoja anauzwa mpaka 20000 na mbuzi kwenye mnada wa igoma wanafika mpaka 120000 hasa wakati huu wa msimu wa sikukuu,je kunatofauti gani na zimbabwe hapo,
Pesa Za US ukiwa hata USA bado zina Faida kakwambia nani kuwa Pesa za USA ni karatasi? mjomba umesoma mpaka Darasa la ngapi hapo bongo?Unafananisha hayo Makaratasi ya Bongo na pesa za USA (Dollar) Mwalimu wako nani wewe aliyekufundisha shule?Pesa za US pia,ukiwa Tanzania zina faida,ukiwa USA,ni makaratasi tu.