Pesa za zamani

Pesa za zamani

Hizo zenye tundu mfungie mwanao kiunoni wachawi hawatamwona mfungie kwa tambara leusi na mvuje....!
 
Hazina thamani yoyote kwa sasa. Hizo zenye picha ya Mwalimu bado zinathamani japo hazitumiki sana.

Kwa kifupi una takataka.
 
Mimi nazihitaji nicheck,ila nitakupa specifications ya ninazozitaka,mfano nahitaji coin yenye picha/imeandikwa king George. ,Kuna nyingine imeandikwa neno East Africa,n.k.
Nipe WhatsApp no
 
Nipe picha maana nnazo nyingi sana
Checking izoView attachment 1793275
UAE_25_Fil_Coin_(Front).jpg
 
Back
Top Bottom