Kwahiyo mkuu unazitaka hizo hela?Kuna mshikaji wangu mmoja kanipa story hizi pesa za hao viumbe wasio onekana kama.majini n.k nowdays ndo zinawapa watu maisha.
Najuwa humu kuna wajuzi wa mambo ebu mimi na wengineo tusio elewa tunaomba kueleweshwa,,,je ni kweli na baada ya faida hazina hasara na hasara ni ya aina gani?
Ni nini kibaya cha hizo pesa ?
Na utamjuaje mtaalamu mkweli ?
Ahsante!
Utapigwa. Makinika utapigwa watu wanafanya dili haramu halafu wanasingizia hizo pesa..! Kama zipo basi wanaozipata ni mmoja kati ya milion kumiKuna mshikaji wangu mmoja kanipa story hizi pesa za hao viumbe wasio onekana kama.majini n.k nowdays ndo zinawapa watu maisha.
Najuwa humu kuna wajuzi wa mambo ebu mimi na wengineo tusio elewa tunaomba kueleweshwa,,,je ni kweli na baada ya faida hazina hasara na hasara ni ya aina gani?
Ni nini kibaya cha hizo pesa ?
Na utamjuaje mtaalamu mkweli ?
Ahsante!
Mtaalam ushasema abishe sasaUtapigwa. Makinika utapigwa watu wanafanya dili haramu halafu wanasingizia hizo pesa..! Kama zipo basi wanaozipata ni mmoja kati ya milion kumi
Nipe directionHela kweli Huwa zinapatikana, sema masharti ndo ishu kwa vijana wa siku hizi wanaishia kuwa vichaa na kupata mikosi ya kudumu kwenye maisha,
Mfano Mganga ana kupa sharti kila mwenzi unapo andama siku ya tatu yake hakikisha hichi kiumbe unakifukizia udi bila kukosa, kijana ukisha lewa pesa tuhh unaaza kudhalau mtambo ulio pewa kuupa huduma.
Kuna jamaa alipewa jini la kumletea hela kila siku, akapewa masharti kila jumapili ahakikishe anachinja mbuzi, na pombe asutumie, alivyo ona mamilioni yamejaa ndani,, akacha kuchinja mbuzi, akaanza kunywa pombe, mpaka sasa amekua chizi, hela alizo vuna yupo anakula mke wake, mandinga makali, nyumba za kutosha, ila ndo hivyo jamaa ana shinda Street kuokota makopo.
Unavyo enda huko uwe na roho ngumu, kama mtoto wa mama,, mama,, mama achana navyo,