The Lost Boy
JF-Expert Member
- Nov 24, 2020
- 248
- 312
biashara ya kuuza chenchi ipigwe marufuku. Pia hii nayo madubu yapigwe marufukuDuuuh hii sasa hatari kwa hio unatoa rai ipi?
Una uhakika?Sio sarafu hata pesa za noti nazo hamna
Duuuuhbiashara ya kuuza chenchi ipigwe marufuku. Pia hii nayo madubu yapigwe marufuku
Madubu, dubwi, bonanza, Korokoro ndio yanamaliza chenchi.
Kwahy hao hizo pesa wanaficha nyumbani au wanazirudisha kwenye mzunguko?biashara ya kuuza chenchi ipigwe marufuku. Pia hii nayo madubu yapigwe marufuku
Kwenye yale madubu pesa inakaa mda mrefu mno bila kutolewa, hii inapunguza mzungukoKwahy hao hizo pesa wanaficha nyumbani au wanazirudisha kwenye mzunguko?
Yale madubwi ya wachina yanakaa na hela mno. Halafu mchina anakusanya anakaa na magunia, mandoo, madumu, majaba ya mashilingi.Kwahy hao hizo pesa wanaficha nyumbani au wanazirudisha kwenye mzunguko?
Ndio hapa Dar es Salaam hili tatizo lipo hakikaUna uhakika?
Chai.Wakuu, hivi karibuni mtaani kumekuwa na uhaba wa pesa za sarafu kwa maana hamsini, mia, mia mbili, na mia tano.
Imefikia hatua makonda wa daladala wanapata shida ya kupata chenchi za kuwarudishia wateja kwa sababu ya hii kadhia.
Ukienda dukani na elfu kumi, unaweza unaweza usihudumiwe kwa sababu ya ukosefu wa chenchi. Sio sarafu hata pesa za noti nazo hamna
Miongoni mwa sababu zilizochangia haya ni uuzwa wa chenchi unafanyika hasa sehemu za stendi. Biashara ya namna hii ilipigwa marufu kipindi miaka michache nyuma lakini sasa imerudi tena. Ukifika stendi ndogo ya mbezi, utaona hili. Konda wa
Kingine ambacho kinachangia uadimikaji wa sarafu ni yale madubu ya kamali ya wa china. Mchezo huu huchezwa kwa kutumia mia mbili. Pesa hiyo ambao huangizwa ndani ya dubu hukaa mda mrefu mno kabla ya kutolewa, hii hufanya pesa hii isiwe kwenye mzunguko mda mrefu.
Wito wangu 'wenye mamlaka, hebu fanyeni hima kuangalia na kulidhbiti hii kadhia haraka iwezekavyo'
Mbona noti ziko mtaani mzee babaNdio hapa Dar es Salaam hili tatizo lipo hakika
Sio kwamba hizo shilingi zipo humo ndani n bajeti kwa ajili ya atakayeshinda? na ndio mzunguko wnyw huoKwenye yale madubu pesa inakaa mda mrefu mno bila kutolewa, hii inapunguza mzunguko
Eh bc hao wachina n Choka mbaya sasa c 200 200 ndo wanajaza magunia kukaa nazo ndani πYale madubwi ya wachina yanakaa na hela mno. Halafu mchina anakusanya anakaa na magunia, mandoo, madumu, majaba ya mashilingi.
Hashindi mtu. Kila siku wanacheza wanaliwa . πSio kwamba hizo shilingi zipo humo ndani n bajeti kwa ajili ya atakayeshinda? na ndio mzunguko wnyw huo
Au ndo hakuna kushinda π
Eh bc hao wachina n Choka mbaya sasa c 200 200 ndo wanajaza magunia kukaa nazo ndani π
Dubwi kwasasa hawatumi hizo mia mbili, wamekuja na pesa zao ziko kama mia mbili lakini zao nyeupeWakuu, hivi karibuni mtaani kumekuwa na uhaba wa pesa za sarafu kwa maana hamsini, mia, mia mbili, na mia tano.
Imefikia hatua makonda wa daladala wanapata shida ya kupata chenchi za kuwarudishia wateja kwa sababu ya hii kadhia.
Ukienda dukani na elfu kumi, unaweza unaweza usihudumiwe kwa sababu ya ukosefu wa chenchi. Sio sarafu hata pesa za noti nazo hamna
Miongoni mwa sababu zilizochangia haya ni uuzwa wa chenchi unafanyika hasa sehemu za stendi. Biashara ya namna hii ilipigwa marufu kipindi miaka michache nyuma lakini sasa imerudi tena. Ukifika stendi ndogo ya mbezi, utaona hili. Konda wa
Kingine ambacho kinachangia uadimikaji wa sarafu ni yale madubu ya kamali ya wa china. Mchezo huu huchezwa kwa kutumia mia mbili. Pesa hiyo ambao huangizwa ndani ya dubu hukaa mda mrefu mno kabla ya kutolewa, hii hufanya pesa hii isiwe kwenye mzunguko mda mrefu.
Wito wangu 'wenye mamlaka, hebu fanyeni hima kuangalia na kulidhbiti hii kadhia haraka iwezekavyo'
Kila siku unajipa imani leo nashinda kumbe ndio kipigo heavy πHashindi mtu. Kila siku wanacheza wanaliwa . π