Uncle Yoso JF-Expert Member Joined Feb 19, 2015 Posts 377 Reaction score 262 Sep 11, 2015 #41 kweny mashine ya printer
GreenCity JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 5,904 Reaction score 4,666 Sep 11, 2015 #42 BansenBurner said: Kariakoo Click to expand... Acha ufala!
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,448 Reaction score 4,984 Sep 11, 2015 #43 CHUAKACHARA said: Tulizo nazo sasa zilichapwa Sweden, kama unakumbuka zililalamikiwa kuwa sio imara zinachanika hovyo- 500 shilling note for example1 Click to expand... dera lu nafikiri ndio kampuni ya sweden inayochapisha tanzania note
CHUAKACHARA said: Tulizo nazo sasa zilichapwa Sweden, kama unakumbuka zililalamikiwa kuwa sio imara zinachanika hovyo- 500 shilling note for example1 Click to expand... dera lu nafikiri ndio kampuni ya sweden inayochapisha tanzania note
youngsharo JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 2,491 Reaction score 500 Sep 15, 2015 #44 mi huwa najiuliza, kwa nini wasitengeneze nyingi tu alafu tuje tugawane wote?
vengu JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 740 Reaction score 536 Jun 16, 2017 #45 Nielimisheni wadau..serikali inaposema haina fedha inamaanisha nini wakati yenyewe ndo ina authority ya kutengeneza fedha yake?
Nielimisheni wadau..serikali inaposema haina fedha inamaanisha nini wakati yenyewe ndo ina authority ya kutengeneza fedha yake?
vengu JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 740 Reaction score 536 Jun 16, 2017 #46 ministrant said: Kingine ambacho huwa sipati majibu ni kuwa, hawa wanaotutengenezea sisi hela huwa tunawalipa kitu gani kama gharama ya kututengenezea sisi fedha? Click to expand... Swali kuntu
ministrant said: Kingine ambacho huwa sipati majibu ni kuwa, hawa wanaotutengenezea sisi hela huwa tunawalipa kitu gani kama gharama ya kututengenezea sisi fedha? Click to expand... Swali kuntu
Dahafrazeril JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 1,500 Reaction score 2,060 Jun 16, 2017 #47 GreenCity said: Acha ufala! Click to expand... Kwanini usingemuomba ushahidi?. Huoni kuwa jibu lako na lake yanafanana?.The essense is the same?.
GreenCity said: Acha ufala! Click to expand... Kwanini usingemuomba ushahidi?. Huoni kuwa jibu lako na lake yanafanana?.The essense is the same?.