Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,770
Noah zitakuja, kinachotuchelewesha ni flai ova ya Ubungo.Wangetumia tu busara hao 'wanaume' waturudishie hata hasara tuliyopoteza kwenda kusomea udereva, mana kila mtanzania alikua na uhakika wa noah, sasa watu tuna leseni wakati hata baiskeli hatuna.
za standadi chatadi walioshinda kesi juzi tumewalipa?
Niliumia sana na uzee huu nikasema ewaaalaaa landlover 109 ya urithi sasa basi kitu noahWangetumia tu busara hao 'wanaume' waturudishie hata hasara tuliyopoteza kwenda kusomea udereva, mana kila mtanzania alikua na uhakika wa noah, sasa watu tuna leseni wakati hata baiskeli hatuna.
Ungejibu hoja sio kutuletea mawazo ya Kibashite hapa.Akili za kichadema hizi unahoji makinikia ili iweje?
Upeo wako ni mdogo sana kuhoji mambo ya kitaifa ,hoji kwanza ruzuku ya chama
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi kwanini ukiwa CCM unaacha kufikiri kwa kutumia ubongo? mtu anahoji suala la msingi kabisa unakuja kutuletea upoyoyo wako hapa. tatizo ukiwa CCM unaanza kufikiri kwa kutumia matundu mbali mbali yaliyopo mwilini mwako, hilo ndo litawaangamiza, hayo matundu ni kwa ajili ya kutolea uchafu.Akili za kichadema hizi unahoji makinikia ili iweje?
Upeo wako ni mdogo sana kuhoji mambo ya kitaifa ,hoji kwanza ruzuku ya chama
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga wako watu wakihoji mnawaita chadema Hayo makinikia tuliambiwa watanzania tumeibiwa sana Acha watu wahojiAkili za kichadema hizi unahoji makinikia ili iweje?
Upeo wako ni mdogo sana kuhoji mambo ya kitaifa ,hoji kwanza ruzuku ya chama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wanao daiwa siyo Twaweza hao ni wadhungu wenye akili ya kutishaNaombe nisiwachoshe!!
Nakumbuka magufuli alizuia makinikia yasitoke nje, na wakawaita wezi na TRA wakaenda mbali zaidi na kusema tunawadai MATRILIONI ya pesa!!
Na kuna kiongozi akasema pesa inayodaiwa inaweza kumnunulia kila mtanzania NOAH.
Mimi nauliza... Je, pesa za makinikia zimelipwa? Na kama zimelipwa mbona hatupewi updates, mbona press conference za makinikia haziitwi kama wakati ule??
Au zimelipwa "zikapigwa JIWE"?
Nawasilisha hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ghalama atazirudisha profesa kalamagambaWangetumia tu busara hao 'wanaume' waturudishie hata hasara tuliyopoteza kwenda kusomea udereva, mana kila mtanzania alikua na uhakika wa noah, sasa watu tuna leseni wakati hata baiskeli hatuna.
Basi ukizitaja hizo fulai ovaa vijana wa chakubanga wana kenua meno kama mazuzuNoah zitakuja, kinachotuchelewesha ni flai ova ya Ubungo.
Mkuu huyo ni mpumbavu jambo la msingi analeta mambo ya vyamahivi kwanini ukiwa CCM unaacha kufikiri kwa kutumia ubongo? mtu anahoji suala la msingi kabisa unakuja kutuletea upoyoyo wako hapa. tatizo ukiwa CCM unaanza kufikiri kwa kutumia matundu mbali mbali yaliyopo mwilini mwako, hilo ndo litawaangamiza, hayo matundu ni kwa ajili ya kutolea uchafu.
Hakiyamungu kila kukicha ni kulipishwa faini tuza standadi chatadi walioshinda kesi juzi tumewalipa?
Nenda kamwambie Dreamliner zinanunuliwa, SGR inajengwa na daraja la Wakorea linapita kwenye maji pale Selander..Au zimelipwa "zikapigwa JIWE"?
😂nawe ulienda kumbe mkuu?Wangetumia tu busara hao 'wanaume' waturudishie hata hasara tuliyopoteza kwenda kusomea udereva, mana kila mtanzania alikua na uhakika wa noah, sasa watu tuna leseni wakati hata baiskeli hatuna.