Pesa za kuendesha vyama zinatoka wapi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pesa za kuendesha vyama zinatoka wapi??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mstahiki, Mar 30, 2010.

 1. m

  mstahiki JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2010
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Naomba kujua pesa za kuendesha vyama zinatoka wapi??
  Ni kwanini Vyama visiwe na miradi yake ili kuviwezesha kuwa na kipato na kujiendesha kama Marehemu SUKITA?
  Naomba msaada wadau...
   
 2. G

  Godwine JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kaka vyama siku hizi ni biashara kwa hiyo matajiri wanawekeza, siku chama kikikomaa kama CCM ndio waliowekeza wanavuna vizuri na kuwaachia watoto wao na wajukuu chama kama kampuni yao
   
Loading...