Pesa yaweza kukubadili tabia na kukupelekea kuwa muovu

Pesa mnazionea tu naapa kabisa,pesa mnazionea tena sanaaaa

Money is just like a tool...sawa na gari the way utakavyo licontrol na ushamba wako ndo litakavyoenda
 
Tuache hii tabia ya kuipa pesa lawama isiyo stahili. Tabia yako ukishapata pesa ndiyo tabia yako halisi maana pesa hudhihirisha uhalisia (character) wako uliokuwa umeuficha.
 
Back
Top Bottom