malela.nc
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 250
- 338
Hbr zenu Wakuu.
Dunia ni zaidi ya uijuavyo, kama ilivyo a da hii pesa ya kodi hailiwi kwa mategemeo kuwa ntapata niongezee. Kamwe..
Ni matumaini yangu wengi wetu tunaujua huu mchezo wa kubeti.Haika na mm ni mlevi mmoja wao, ila kwa ili hakika naachana na huu mchezo.
Kwa wasiojua nini maana ya kubet, huu ni mchezo wa kutabiri kati ya timu mbili zitakazo kuwa zinacheza kila moja ikiwa na point ambazo unazidisha na pesa utakayo weka, kama marokoar yatakuwa kama ulivyotabiri basi unakuwa umeshida.
Bali hiyo ndiyo iliyonikuta jana pale nipo shawishika kuweka PESA ya KODI (180,000Tsh) nkitegemea kupata zaidi lkn hali ikawa ndivyo sivyo baada ya utabiri wangu kwenda kinyume na matokeo ya mechi. Hali iyo ilifanya pesa yngu kuwa imeliwa na kupoteza matumaini yangu.
Swala linakuja pale Baba Mwenyenyumba anataka pesa yake na kama mjuavyo hali kwa kipindi hiki ni ngumu mno ila na amini kwa umoja wetu naweza nkafanikisha hili, Naomba kwa yoyote mwenye uwezo na nia ya kuepushia na aibu hii anisaidie kwa;
0744309911 au 0716421233 natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wote.