Habar wakuu?
samahani mi nauliza ka kuna chuo ambacho mpaka leo hii tareh 09/09.2016 hawajapata pesa ya field ile first installment yani 310K.case angu imebase zaid kufahamu kama hadi leo hiki chuo cha Tumaini au Universiry of Iringa hawajapata pesa kweli? msaada pleas.