Pesa ya field vipi mbona kimya

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mnatuvunja moyo kwel first year maana kwa hal hii wengne tunaweza kuiskia degree redion
 
Mm namaliza kesho sina hana nauli
Daaah maisha ya tz hayahitaj hasira
 
Nasikia UDSM Mmewekewa elfu thelathini ni kweli??
 
duuu mtampasua kichwa mkuu wa nchi,mara pesa za field,mara TCU sijawaelewa,maraJKT wapya lini depo,mara tovut ya ajira mbona imefungwa,mara mzunguko wa pesa umepungua,mara wahanga wa tetemeko hawana matent,mara makontena bandar yamepungua,mara.........! yaaani daaaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…