Mkuu Hiyo ID-Name Mbona Inatisha Sanawengine tulishamaliza ww chuo gani mkuu
Kwani ilitakiwa ipelekwe wapi?mkuu hebu tuambie ile kilo 3 na 10 umepeleka wap
kwa wajasiKwani ilitakiwa ipelekwe wapi?
Watu tunahoji vitu vya msingi ww unaleta mambo ya viroba hapakwa wajasi
nimeipenda hiyo.. wajasi hapa wanafidi hela zetu tuu.. juzi paul makonda kaja ujasi wa info udom katoa laki 9watu wale bure siku tatu kwa maza mmoja hapa .. hatari sanakwa wajasi
Mkuu unamaanisha Elfu thelathini au typing error??UDSM mzgo umezama Jana sahv na 30,000/=
Ndio mkuu!!!Mkuu unamaanisha Elfu thelathini au typing error??
[emoji2] [emoji2] [emoji16] [emoji23] SHONA TULIAMkuu Hiyo ID-Name Mbona Inatisha Sana
Kama tumeishi kwa kukopa mkuu tukitarajia kulipa baada kupokea hiyo pesa unadhani ni haki kutufanyia hivyomnataka pesa yanin
field inaelekea mwisho!
kwani mmeishi vp huko
kuwen wavumilivu itakua mchakato bado unaendele!Kama tumeishi kwa kukopa mkuu tukitarajia kulipa baada kupokea hiyo pesa unadhani ni haki kutufanyia hivyo