tunabana matumizi kwa sasa..hata miaka ijayo hizi field zote itabidi ziwe zinafanyika mwezi ramadhan na zingine kwaresma ili ziendane na kasi ya kubana matumizi

muda wa field hauja wadia rudi nyumbani mpaka tarehe 7 kama waziri wa elimu alivyowaambia au subiri taarifa nyingine kama itasogezwa mbele au kusitishwa BUT pole sana kijana