Abdul Mnyama
Member
- Aug 3, 2018
- 16
- 9
Nilikuwa nawaza hapa kwa harakaharaka kati ya PESA na MASHINE (urijali) kwa mwanaume kipi ni muhimu zaidi kuwa nacho (other factors remain costant).
Ni ukweli usioshaka kwamba pesa ni mchawi wa kila kitu hasa mapenzi ya sikuizi ila wasiwasi wangu ni kwamba hivi ni kweli pesa pekeake inatosha kumpa mwanaume sifa yake ya Uanaume?..
Hivi ni kweli Mwanamke anaweze kuridhika na Mwanaume mwenye pesa lakn kwenye sex not fit?
Me nahisi Urijali (Mashine) first then Pesa inakufuata. japokuwa Wanawake wengi wanaangalia Pesa kwanza thn wakija kushtuka Mashine haifanyi kazi wanaanza kuchepuka afu utakuta anapigwa na Jamaa mwenye Mashine yake Timamu ila mfukoni hana kitu.
Sasa kipi bora hapo Pesa au Mashine..
Sent using Jamii Forums mobile app