Pesa sabuni ya roho mali makaratasi

kashkaji hata domo halionekani tena kama ni chai jaba aisee...kweli pesa ni sabuni!!
 
Dhambi kufa maskini kuzqliwa maskini si dhambi wapwa iposiku tusikatetamaa
 
nina waswas huo mdomo umefanyiwa plastic surgery sku hizi walau unaonekana
 
Yaani kama hakuwa PANYAROAD WAKIPINDI HICHO SIJUI,,MUNGU ANAJUA DESTINY YAKO WAPENDWA MSIKATETAMAA. NAMAISHA. MNAYOPITIA. NIYAMUDA TU SOON MTAYAFURAHIA'''
 
naamini hata mimi kabanga leo nikiweka ha picha za miaka 10 nyuma na ya leo nitashangaza.....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…