Pesa ninayopata ni ndogo?

So in that case always nabaki na 32000,sabuni is there kila wiki lazima ninunue,1000+kuogea 1500 =30500...na vingine vidogo vidogo yani always nabakiwaga na 20000
Na iyo 20 haitoshagi hadi nikope kwaiyo nikitumiwa tena 40000 nilip madeni always ayazidi 10000,5000 mwisho
 
Focus kumaliza chuo kwanza,mengine yatafuata.Kufanya vitu nusu nusu,Utajikuta unapata GPA mbovu na Biashara nayo inafail.
 
Sure elf 40 kubwa sn
 
Hata ukipewa laki kwa wiki bado haitatosha, utakachofanya ni kupanda daraja tu, kama saiv unanua viatu vya 8000 utahamia vya 30000 😁
 
Acheni masihara elfu 40 atimize mahitaji yake binafsi na ya chuo.yani chakula,nauli mavazi,notes.Hiyo hela aitoshi kwa mahitaji muhimu ukiwa chuo.
ASA MTU ananunua viatu kila wiki utamshauri nn!! Sis tulkua tunatumia elfu ishirin kwa wiki ,ila yeye hajaamua tu
 
Dah umesimplify sana cdhani kama mlengwa ataweza kiuhalisia
 
Hata ukipewa laki kwa wiki bado haitatosha, utakachofanya ni kupanda daraja tu, kama saiv unanua viatu vya 8000 utahamia vya 30000 😁
True ishu aamue tu kama ana malengo ya kusave ,ata apewe million bado itakua ndogo kwake
 
So in that case always nabaki na 32000,sabuni is there kila wiki lazima ninunue,1000+kuogea 1500 =30500...na vingine vidogo vidogo yani always nabakiwaga na 20000
😃😃😃😃😃
 
So in that case always nabaki na 32000,sabuni is there kila wiki lazima ninunue,1000+kuogea 1500 =30500...na vingine vidogo vidogo yani always nabakiwaga na 20000
Sabun y kuogea kila wiki [emoji16] oke Una plan n biashara Gan pia uko mkoa Gan Kama uko dar njoo dm
 
Yani napenda niwe na viatu vingi so kila wiki natenga 8000 kwajili ya kununua simple kiatu,lotion nikinunua Mara moja iyo iyo sana sana viatu....
Nashangaa mtu kama huyu bado anashauriwa.we soma kua ndo uwaze biashara saivi wewe ni slayqueen
 
We nae acha uongo. Kila week unanunua perfyume, lotion, viatu. Kwanini watz mnakuwa waongo waongo.

Kama unasoma bachelor miaka 3, utamaliza chuo ukiwa na pairs 96 za viatu. Ukiuza hizo pairs zote kwa 3000 kila pair utakuwa na 288,000 pesa ya kuanzia kulipia kodi ya chumba cha biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…