Nafanya vya msingi tu naiheshim sana ela sijawahi fanyia ujinga,labda upande wa bando ndo huwa naona Nina kasoro huko ya kuchezea ela ila nikiweza huku basi....Sasa unahitaji ushauri au nn,
40000 unayotumiwa ni ndogo ila jifunze kuish kuendana na kipato hicho..fanya vitu vya mcngi...
Tumia ela vizuri usiige ige life ishi kwa kiwango chakoNipo chuo Nina mpango wa kufanya biashara lakini biashara hii nahitaji chumba, kwa wiki natumiwa tsh elfu 40, nipo mkoa mgumu katika kupata mahitaji nikimaanisha vitu bei ghali.
Sasa jamani kila Jumapili natumiwa Pesa tajwa hapo juu lakini kila ikija ijumaa au Jumamosi lazima nikope watu hela ya kula, hela huisha katikati haifiki Jumapili, kwa nilivyojifatilia nimeona Vocha inamaliza sana hela hasa kwa upande wa bando lakini sio bando tu kila ifikapo Jumapili nanunua kila kitu ambacho sina. Maradhi kwa ujumla lakini utakuta katika 40 always nabakiwa na 20 tu 20 inakuwa imetumika kununua vitu ambavyo sina mf. Viatu, pafyumx, lotions, sabuni, kulipa madeni kwa wanaonidai etc.
Always inabaki humo kama sio 20 basi 18_16, sasa saizi Nina mpango wa kupunguza matumizi ili nilipie chumba cha biashara na niazishe biashara ndogo iweze kunipa faida niweze kuendesha maisha baada ya chuo na nipo semi ya mwisho. Sijui nitaweza!!!!!!!!!
Bila frame siwezi kutembeza nikitembea nachoka haraka nina tatizo la pumziSio lazima biashara uanzie kwenye fremu. Kama hio hela haikutoshi ina maana hutaweza kusave na hautaweza kua na frame.
Fikiria namna ya kuifanya hio biashara kwa mtaji mdogo na bila frame umiza kichwa utapata tu njia.
Yaani hata 2000 kwa sikuBando unatumia shi ngap ?
Sasa mikate haikawii kuaribika naipenda nikipata na pinat butter na soda chakula changu cha usiku uko nyuma.chai sio sana soda napendelea kunywa na mkate.Mbona nyingi sana hiyo kwa wiki. Panga budget vizuri. Kama utakula vinono haitotosha. Watu wanashindiaga mikate na chai chuoni ambapo kama sukari na majani vimeisha unashushia maji. Nakumbuka wakati nasoma tulikua tunanunua skonsi 1500 ndani vinakaa vipande 6.
Maisha ni vile unataka yawe ukipenda makuu utayaona magumu sana
Unaenda na hesabu. Kwani kwa siku unatumia sh ngap?Sasa mikate haikawii kuaribika naipenda nikipata na pinat butter na soda chakula changu cha usiku uko nyuma.chai sio sana soda napendelea kula na mkate.
maana hiyo Kwa wiki inakatika 14 elf kwenye bando si ndioYan ata 2000 kwa siku
Una matumiz mabaya sana ya pesa... Hata ukifanya biashara utafirisika tu.. Kwa matumizi hayo ya vocha na vitu vingine..Nipo chuo Nina mpango wa kufanya biashara lakini biashara hii nahitaji chumba, kwa wiki natumiwa tsh elfu 40, nipo mkoa mgumu katika kupata mahitaji nikimaanisha vitu bei ghali.
Sasa jamani kila Jumapili natumiwa Pesa tajwa hapo juu lakini kila ikija ijumaa au Jumamosi lazima nikope watu hela ya kula, hela huisha katikati haifiki Jumapili, kwa nilivyojifatilia nimeona Vocha inamaliza sana hela hasa kwa upande wa bando lakini sio bando tu kila ifikapo Jumapili nanunua kila kitu ambacho sina. Maradhi kwa ujumla lakini utakuta katika 40 always nabakiwa na 20 tu 20 inakuwa imetumika kununua vitu ambavyo sina mf. Viatu, pafyumx, lotions, sabuni, kulipa madeni kwa wanaonidai etc.
Always inabaki humo kama sio 20 basi 18_16, sasa saizi Nina mpango wa kupunguza matumizi ili nilipie chumba cha biashara na niazishe biashara ndogo iweze kunipa faida niweze kuendesha maisha baada ya chuo na nipo semi ya mwisho. Sijui nitaweza!!!!!!!!!
Kila wiki unanunua viatu? Kila wiki unanunua lotion? Bila shaka tatizo lako linaanzia hapo.
mara viatu kama ni mtoto wa kike labda sawa....Hata Kama ni mtoto wa kikeAta mimi nimejiuliza swali hilo kila wiki lotionmara viatu kama ni mtoto wa kike labda sawa....
Ni biashara gani kama hutojali? Vipi kuuza online uwe unatumia hilo bando kwa faida?Bila frame siwezi kutembeza nikitembea nachoka haraka nina tatizo la pumzi
Yani napenda niwe na viatu vingi so kila wiki natenga 8000 kwajili ya kununua simple kiatu,lotion nikinunua Mara moja iyo iyo sana sana viatu....Kila wiki unanunua viatu? Kila wiki unanunua lotion? Bila shaka tatizo lako linaanzia hapo.
So in that case always nabaki na 32000,sabuni is there kila wiki lazima ninunue,1000+kuogea 1500 =30500...na vingine vidogo vidogo yani always nabakiwaga na 20000Yani napenda niwe na viatu vingi so kila wiki natenga 8000 kwajili ya kununua simple kiatu,lotion nikinunua Mara moja iyo iyo sana sana viatu....