Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,018
- 20,489
Nashindwa kujua, hivi pesa ni mali ya nani?
Katika maandiko matakatifu tunasoma yakuwa Yesu alinyanyua sarafu na kuwauliza waamini wake kuwa sarafu ile ina picha ya nani? Nao wakajibu ina picha ya Kaisari, basi akawajibu kuwa. "Ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu,
Wakati huo huo tunasoma yakuwa, mali na dhahabu na vitu vyote viijazavyo dunia ni mali ya Mungu,
Hivi pesa ni mali ya nani?????