Miezi miwili nilimkopesha jamaa safi tu , tunachat daily yaani laki 2 ana mshahara wa million 5 kabla ya makati sema ana mkopo ..
Baada ya kupokea kala kona kimya hajibu meseji aliniahidi siku 10 mbeleni maana ilikuwa around trh 12 mpaka 23 anapata mshahara, hapa status zake sioni tena whatsap ...Nishajua kila kitu na alikuwa ni last hope kwa ninaowaamini.