Pesa ni nzito kuliko upendo

Sema haya maisha hayajawahi kuwa na usawa, maake hata wenye pesa wanagongewa pia, ila ukweli mtupu, bila pesa, hata kama ni handsome, mwanamke atakuwa anakuona lisura lako linafanana na la Pimbi, Pumbafu zetu tutafute hela
 
Jenga thamani yako, thamani inatafutwa, thamani ni universal language. You're busy with wrong things.
 
Yaani tutafute hela ili tupendwe na wanawake.! Mimi binafsi huwa sipendi kushobokewa na wanawake. Siku moja nilikua bar na washkaji, ikaagizwa hennessy. Kwa sababu siku hiyo mimi ndio nilikua natakiwa kuclear bill ya meza nzima ikabidi nimwambie kabisa muhudumu hennessy iletwe bila msafara wa dorime maana sipendi attention especially ya vidada vyenye njaa
 
Nasemaje pesa haiwezi kununua upendo labda ngono kuna watu wenye imani et ngoja nijipate- mapenz yasinisumbue? kama hupendwi hupendwi tu ila ukiwa na pesa utapewa ngono tu lakini mapenzi na upendo wa kweli hamna sema mapenzi mkipendana ukawa na hela unyama inanoga ila sio kwamba mapenz peso ngono pesa upendo wa kweli haununuliwi kwa bei yeyote ile au

AU NYIE MNAONAJE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…