Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,564
- 20,431
Ukisema wabadilishane vitu serikali ingekuwa maskiniWalio leta ela wamechangia watu kuwa wavivu bora enzi za kubadilishana tu.
Wakuu mbona hizi mada watu hawapo?Ukisema wabadilishane vitu serikali ingekuwa maskini
Imagine ikikosekana 'sense of double coincidence'?
Hapa ndio pesa inazidi vingine vyote
Inaniuma sana. Kwa sababu hata ufanye kazi unatoa jasho la damu lakini kama hauna economic freedom ni kama kumpigia mbuzi zeze acheze. Tutafanya mamiradi yote tunayoyajua lakini kama pesa hatuimiliki bado kazi bureWakuu mbona hizi mada watu hawapo?
Inaniuma sana. Kwa sababu hata ufanye kazi unatoa jasho la damu lakini kama hauna economic freedom ni kama kumpigia mbuzi zeze acheze. Tutafanya mamiradi yote tunayoyajua lakini kama pesa hatuimiliki bado kazi burePesa ina historia ndefu sana lakini leo napenda tujadili status iliyonayo pesa leo.
1. Pesa kama pesa haina thamani yeyote, ni makaratasi tu. Thamani ya pesa inatokana na wananchi kuamini kuwa ina thamani na serikali kutunga sheria kuwalazimisha watu kukubali kuwa pesa ina thamani. Ndiyo maana kwenye pesa kuna maandishi 'fedha halali kwa malipo ya Shilingi.....' Fikiria mfano huu, Tanzania kuna watu 60m na wanaiamini na kuithamini Tsh. Rwanda wana watu 11m nao wanaiamini na kuithamini pesa yao. Kuna nchi zina watu 2m na zingine laki kadhaa na nchi nyingine zina watu elfu kadhaa. Shuka hivyo hadi upate kuwa kila familia ya watu kadhaa ni nchi. Sasa kila familia(nchi) itengeneze pesa yake. Familia A hawezi kwenda kwa familia B kununua mbuzi au ng'ombe kwa kutumia pesa yake sababu familia B hawaiamini, nao wana pesa yao, familia C nao wanayo yao na D nao wanayo yao. Imani ndiyo inaipa pesa thamani.
Kwa hiyo ukienda kwenye kiini kabisa, pesa tunazotumia sasa ni makaratasi matupu na ndiyo maana watu wakipoteza imani nazo huwa zinashuka thamani kwa kasi
2. Serikali huwa zinatengeneza pesa hizo kutoka hewani tu.
Kuna kipindi Iddi Amin(RIP) aliambiwa kuwa nchi imepigika haina hela za kulipa mishahara yeye akawajibu "kachapisheni muwalipe" zamani nilimuona mjinga lakini kumbe ndivyo mambo yalivyo. Serikali huchapisha pesa zinavyojisikia bila kuulizwa na yeyote. Pengine ili kuepuka hili ndiyo maana wanasema benki kuu ya Marekani haimilikiwi na serikali. Serikali haiwezi kuwa kwenye shida halafu inauwezo wa kuchapisha pesa na isichapishe. Kuchapisha kupita kiasi kunaweza leta inflation lakini mara nyingi serikali za kidemokrasia hazijali hayo.
3. Serikali zinatengeneza pesa kutoka hewani kisha zinatukopesha kwa riba.
Baada ya serikali kutengeneza pesa kutoka kwa hewa wanazikopesha benki. Benki nazo wanakopesha watu. Kwa hiyo kama benki kuu/ serikali inachaji riba ya 10% benki iliyokopeshwa bilioni moja itatakiwa kurudisha bilioni moja na milioni 100. Kama benki nao wanaenda kukopesha wananchi kwa asilimia 20 maana yake wananchi watatakiwa kurudisha Tsh bilioni 1.2. sasa jiulize hii milioni 200 imetoka wapi? Yaani unaingiza noti za elfu kumikumi laki moja halafu unataka zirudi laki moja na ishirini, hizi noti elfu ishirini zinatoka wapi? Hapa ndiyo maana watu hufirisika na dhamana zao kuuzwa, ni kama upatu mmoja mkubwa.
Tujadili.
Kwa maana pesa yetu iko controlled na mataifa makubwaInaniuma sana. Kwa sababu hata ufanye kazi unatoa jasho la damu lakini kama hauna economic freedom ni kama kumpigia mbuzi zeze acheze. Tutafanya mamiradi yote tunayoyajua lakini kama pesa hatuimiliki bado kazi bure
Lakini makaratasi ya marekani yana power zaidi kuliko ya tanzania. Unaweza elezea kwannLiterally, pesa ni makaratasi, lakini, ni makaratasi yenye "power".
GOD, made Man, Man made money, money made Man crazy.
Kuna sababu nyingi sana zinazo sababisha pesa ya nchi fulani kuwa na thamani kuliko pesa ya nchi nyingine.Lakini makaratasi ya marekani yana power zaidi kuliko ya tanzania. Unaweza elezea kwann
Pesa ni maua... Pesa ni sabuni.ya roho...
Wamen'gan'gania kumpondea magufuli kule siasaniWakuu mbona hizi mada watu hawapo?
Wengi hamna uelewa na pesa inavofanya kazi zaidi ya kutumia reference ya vitabu.Kuchapisha pesa nigharama kubwa mkuu...
Hata BOT wakichapisha hela lazima wa toe tender kwa makampuni ya kuchapisha hela... Inaitaji hela kuchapisha helaWengi hamna uelewa na pesa inavofanya kazi zaidi ya kutumia reference ya vitabu.
MOSI: Kuna tofauti kubwa sana kati ya "Worth" na "Value" ukiwa unaongelea socio-economics.Pesa ina historia ndefu sana lakini leo napenda tujadili status iliyonayo pesa leo.
1. Pesa kama pesa haina thamani yeyote, ni makaratasi tu. Thamani ya pesa inatokana na wananchi kuamini kuwa ina thamani na serikali kutunga sheria kuwalazimisha watu kukubali kuwa pesa ina thamani. Ndiyo maana kwenye pesa kuna maandishi 'fedha halali kwa malipo ya Shilingi.....' Fikiria mfano huu, Tanzania kuna watu 60m na wanaiamini na kuithamini Tsh. Rwanda wana watu 11m nao wanaiamini na kuithamini pesa yao. Kuna nchi zina watu 2m na zingine laki kadhaa na nchi nyingine zina watu elfu kadhaa. Shuka hivyo hadi upate kuwa kila familia ya watu kadhaa ni nchi. Sasa kila familia(nchi) itengeneze pesa yake. Familia A hawezi kwenda kwa familia B kununua mbuzi au ng'ombe kwa kutumia pesa yake sababu familia B hawaiamini, nao wana pesa yao, familia C nao wanayo yao na D nao wanayo yao. Imani ndiyo inaipa pesa thamani.
Kwa hiyo ukienda kwenye kiini kabisa, pesa tunazotumia sasa ni makaratasi matupu na ndiyo maana watu wakipoteza imani nazo huwa zinashuka thamani kwa kasi
2. Serikali huwa zinatengeneza pesa hizo kutoka hewani tu.
Kuna kipindi Iddi Amin(RIP) aliambiwa kuwa nchi imepigika haina hela za kulipa mishahara yeye akawajibu "kachapisheni muwalipe" zamani nilimuona mjinga lakini kumbe ndivyo mambo yalivyo. Serikali huchapisha pesa zinavyojisikia bila kuulizwa na yeyote. Pengine ili kuepuka hili ndiyo maana wanasema benki kuu ya Marekani haimilikiwi na serikali. Serikali haiwezi kuwa kwenye shida halafu inauwezo wa kuchapisha pesa na isichapishe. Kuchapisha kupita kiasi kunaweza leta inflation lakini mara nyingi serikali za kidemokrasia hazijali hayo.
3. Serikali zinatengeneza pesa kutoka hewani kisha zinatukopesha kwa riba.
Baada ya serikali kutengeneza pesa kutoka kwa hewa wanazikopesha benki. Benki nazo wanakopesha watu. Kwa hiyo kama benki kuu/ serikali inachaji riba ya 10% benki iliyokopeshwa bilioni moja itatakiwa kurudisha bilioni moja na milioni 100. Kama benki nao wanaenda kukopesha wananchi kwa asilimia 20 maana yake wananchi watatakiwa kurudisha Tsh bilioni 1.2. sasa jiulize hii milioni 200 imetoka wapi? Yaani unaingiza noti za elfu kumikumi laki moja halafu unataka zirudi laki moja na ishirini, hizi noti elfu ishirini zinatoka wapi? Hapa ndiyo maana watu hufirisika na dhamana zao kuuzwa, ni kama upatu mmoja mkubwa.
Tujadili.
MOSI: Kuna tofauti kubwa sana kati ya "Worth" na "Value" ukiwa unaongelea socio-economics.
2. Pesa zote duniani zinakuwa regulated na Standard International Financial Acts. As long as nchi ina heshimu Regulations hizo, haiwezi chapisha pesa "HALALI" inavuojisikia.
3. Naunga hoja ila nahisi ume-simplify mno uhalisia wa mzunguko wa pesa Mkuu Lycaon.
Umeangalia pesa tu kuwa ndo chanzo cha kulipa madeni ukisahau factors zingine kama collateral assets.
[emoji2398]