Pesa ni hatari sana

Pesa ni hatari sana

Its true

Jamani haya mambo ya kusema dini yangu ni bora kuliko yako huleta mfarakano na chuki pamoja na kuanza kumkufuru mungu na mitume wake,tena mabishano ya dini huwa hayana mshindi kwani hakuna atakaekubali kushindwa,ni vizuri tukafahamishana kistaarabu na kimaandiko.
God bless u all.
 
pesa sabuni jaman inaleta furaha ndani ya moyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom