mende 2014
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 763
- 131
MCHUNGAJI alikuwa
anawaombea waumini wake
akauliza;
MCHUNGAJI: Wangapi
wanataka kuokoka inueni
mikono niwaombee.....hakuna
aliyeinua mkono. Pedeshe
mmoja akapita mbele na
kupanda madhabauni na
kutangaza
PEDESHE: Jamani mchungaji
anasema wanaotaka kuokoka
wanyanyue mikono juu
jamani.....mtoto mmoja peke
yake akanyanyua mkono,
pedeshe akatoa laki tatu
mfukoni akampa yule mtoto.
PEDESHE: Haya jamani
ninaomba nirudie tena
niwaombe wanaotaka kuokoka
wanyooshe mikono juu ili
Mchungaji atuombee.....watu
wote wakanyanyua mikono
juu, Pedeshs akamgeukia
Mchungaji ili awaombee
akakuta na mchungaji nae
kanyanyua mkono juu.
anawaombea waumini wake
akauliza;
MCHUNGAJI: Wangapi
wanataka kuokoka inueni
mikono niwaombee.....hakuna
aliyeinua mkono. Pedeshe
mmoja akapita mbele na
kupanda madhabauni na
kutangaza
PEDESHE: Jamani mchungaji
anasema wanaotaka kuokoka
wanyanyue mikono juu
jamani.....mtoto mmoja peke
yake akanyanyua mkono,
pedeshe akatoa laki tatu
mfukoni akampa yule mtoto.
PEDESHE: Haya jamani
ninaomba nirudie tena
niwaombe wanaotaka kuokoka
wanyooshe mikono juu ili
Mchungaji atuombee.....watu
wote wakanyanyua mikono
juu, Pedeshs akamgeukia
Mchungaji ili awaombee
akakuta na mchungaji nae
kanyanyua mkono juu.