Emu kamwambie manji kule keko hii kauli kwa sasa uone atakujibu nini?Habariiini... Wakuu nkuwa nabisha Kuwa pesa si kila kitu.. Yaan asikudanganye mtu...pesa is everything mengine ni minor Case.tu. Yaan ukiwa., na hela ,ukisema wew ni Mungu watu wanakuamini. Watu tunatafuta pesa.bila kujua hapo hapo hapo tunatafuta Amani.. . We have to fight for money. Mana ndo amani. Tumshirikishe na maulana pia. I present""niko hapa kichakani nawaza kwa sauti.
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Niko tofauti.pesa si kila kitu mkuu ila sasa ikikosekana kuna baadhi ya vitu hupungua.usiniulize vitu gani!Habariiini... Wakuu nkuwa nabisha Kuwa pesa si kila kitu.. Yaan asikudanganye mtu...pesa is everything mengine ni minor Case.tu. Yaan ukiwa., na hela ,ukisema wew ni Mungu watu wanakuamini. Watu tunatafuta pesa.bila kujua hapo hapo hapo tunatafuta Amani.. . We have to fight for money. Mana ndo amani. Tumshirikishe na maulana pia. I present""niko hapa kichakani nawaza kwa sauti.
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Kiseme buana coz we are not responsible Kwa tunachokisema but also we are responsible hata kwakile tusichokisema ...Niko tofauti.pesa si kila kitu mkuu ila sasa ikikosekana kuna baadhi ya vitu hupungua.usiniulize vitu gani!
Jiulize wazee wa zamani mababu na mababu walikuwa nawatumia mijihela kununua vyakula??
Kuna kingine nilikuwa nataka kukisema lkni ngoja ninyamaze.ila pesa si kila kitu
Lilikuwa limgusa mtu ambae ashatangulia mbele ya haki ndo manaKiseme buana coz we are not responsible Kwa tunachokisema but also we are responsible hata kwakile tusichokisema ...
Embu funguka hapa watu waelewe.
Oohhhh Basi sawa usilisema .tulia ivyo ivyo.Lilikuwa limgusa mtu ambae ashatangulia mbele ya haki ndo mana
Kwahiyo sitoweza kusema
Umeonaee.bora ninyamaze nisije nikaamsha madudeOohhhh Basi sawa usilisema .tulia ivyo ivyo.
Napinga.. Hata ukitumikia ..uvivu. Anasa etc utakuwa mtumwa navyo..negatively But kwa hela unakuwa bhas mtumwa positively... Na cyo kutafuta kwa njia ziczo sahihi..though we find money differentlyUkitumikia pesa utakuwa mtumwa utafanya mambo ya ajabu eti kisa unatafuta pesa, mwisho wa siku pesa sio kila kitu
Kabisaaaa[emoji125] [emoji119]Umeonaee.bora ninyamaze nisije nikaamsha madude
Uko kichakani,unajisaidia au?Habariiini... Wakuu nkuwa nabisha Kuwa pesa si kila kitu.. Yaan asikudanganye mtu...pesa is everything mengine ni minor Case.tu. Yaan ukiwa., na hela ,ukisema wew ni Mungu watu wanakuamini. Watu tunatafuta pesa.bila kujua hapo hapo hapo tunatafuta Amani.. . We have to fight for money. Mana ndo amani. Tumshirikishe na maulana pia. I present""niko hapa kichakani nawaza kwa sauti.
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app