Watu!!!!!
Hv ukiwa huna pesa utapata hamu ya kufanya mapenzi?mnijuzeDah mi ntafia PENZI tu!
Ndiyo ni watu lakini wakiwa na nini. Wakiwa na PESA mifukoni mwao au wakiwa na mapenzi mioyoni mwao?
There's no romance without finance
source:unknown
siamini kama umeliogopa hili swali!
Umetaka kujua nini kinaendesha dunia na sio nani anaestahili/faa/takiwa kupendwa so lets stick to that!!Kwa hiyo haiwezekani kumpenda asiye na PESA?
jG bana...you know me..woga nilishamtaliki zamani!!
Ishu ni kwamba Hamna anaeweza kuendesha maisha kwa mapenzi pekee wala anaeweza kuishi kwa furaha akiwa na pesa pekee bila mapenzi (yoyote yale..ndugu/marafiki/mwenzi/watoto n.k) kwahiyo siwezi kuchagua kimoja. Unless tuko kinadharia zaidi na sio kiuhalisia!!
Ukiiweka namna hiyo basi MAPENZI....kama ni pesa hata mimi naweza kutafuta!!ndio mi najua na naelewa, nadhani hapa inabidi twende tu kinadharia tu ili kushibisha uzi, naamini Kigarama nae anaelewa yote haya ila anataka tu kujua akili/moyo wa mtu hapa umezingirwa na nini hasa!
Mi nshasema PENZI, na wewe si utaje kimoja tu kati hvyo jamani hahahaha