pesa mbili tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

pesa mbili tz

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by pisces, Nov 11, 2011.

 1. pisces

  pisces JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 225
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hivi kuna nchi gani nyingine duniani inayotumia pesa za aina mbili kwa wakati mmoja kama ilivyo hapa tz??
   
 2. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  saudia
   
 3. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Na bado, wanataka kuchapa hela nyingine. Vitu vitapanda bei sana
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  jiulize sasa!
   
 5. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu hazina mazara na kiuchumi zinatakiwa zitoke zenyewe kwenye circulation pale inapochoka na ku be replaced na fedha mpya ndiyo maana unaona stock iliyopo bado inatumika mpaka itakapokwisha.
   
 6. rweyy

  rweyy Senior Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  jamani hili la noti mbili serikali yetu inashindwa watawezaje kununua meli iyotumika ikaweza fanya kazi
   
 7. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Zanzibar
   
 8. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sema kweli kuwa na noti mbili sioni ubaya,ubaya unakuja pale tunapotumia pesa zetu chache kwaajili ya mambo ya kijinga jinga kama haya.yaani vitu vya kufanywa vipo vingi lkn havitekelezwi na kuishia ku print hela zingine.
   
Loading...