😡iv kuishi bila serikali haiwezekani yan tuludi kwenye state of nature tuuBajeti ya wizara
Hana tofauti na treasonHadi muda huu kakoko alitakiwa awe lock up akisubiri kufikishwa mahakamani kwa mashitaka mawili ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha
Katiba mpya kwanza ikipita na tume huru ya uchaguzi habari yao inakwenda na katiba yao ya CcmHiyo haiwezekani labda kuishi bila ccm inawezekana
Tukio/Picha ya mwaka 2017
View attachment 1738738
Chanzo:Code:https://news.sky.com/story/nigerian-spy-chief-suspended-after-43m-in-cash-found-in-lagos-apartment-10843198

mshana uje ujibu hoja huk usiutelkeze uzi