loh sijawahi kulisikia.......Bentley Bentayga.
Mbona ndogo kama ni hivyo?Gari ina Gharama kubwa hii! For First Time ktk Pitapita Zangu nilikutana nalo moja Bongo mwaka huu! Haisee, Gharama za kuingiza hiyo gari ni Millioni zaidi ya 100(Means Taxes and other gvment charges, achana na Manunuzi)
Nikasema sawa, kweli tunatofautiana.