Pesa kwanza

Kina mokolizzler ndio wanasababisha haya kila mtu naye anataka kuwa juu
 
Mara nyingi mnajikoki wenyewe, unategemea sisi tufanyeje zaidi ya kuwavuna na kuwachuma???
 
Tatizo ni pale mzigo unapokosa value for money!
 
Tena bora huyu anaefunguka kuanzia mwanzoni unajua nini you are getting into kuliko wale waongo...
 
mwanamme amevumbua ATM kudroo pesa mwanamke amengamua mwanamme kuchukua hela
tuchunge sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…