Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,648
- 6,409
Hujampata tu atakaeupendaWadau musalam!!!
Napitia changamoto saana kwenye hali yangu ya mahusiano kwa sasa...
Nimegundua nna moyo wa mapenzi ya dhati saana tatizo ni mkwanja yaani pesa inanifelisha mpaka napagawa yaani.
Yaani ipo hivi kwakuwa nimejaaliwa dizaini ya mwonekano wa mtu mwenye vijisenti so imekua rahisi kwangu kuwanasa watoto wazuri.
Shida inakuja kwenye expectations zao, yaani wanadhani mi ni bonge la danga la kutatua shida zao wakati binafsi zangu msoto mbaya.
Basi naishia kuwala na kuwekwa "sabu" roho inaniuma ila wananiambia tatizo hela sina hiyvo niwe mpole mpaka ifike zamu yangu.. Roho inaniuma naenda kwa mwengine napo ni ivo ivo
Mwisho najikuta kipindi kifupi nishawatafuna wengi bila kutegemea yote kwasababu ya pesa moyo unaniuma kwakuwa sijazoea kuwachezea...
Nawaza nitafute mtaalam ka vip aondoe chumba cha mapenzi kwenye ubongo wangu nisiwawaze kabisa wa nisiwe na hamu ya kula mzigo.. Nimejeribu Nofap nimefel coz mzuka wa kula mzigo ka nimetupiwa jini yaan na wakummiliki mwenyewe sina nnaowapata wanataka ni share sababu sina hela..
Swali
Wanawake kweli kabisa hamna true love?? You only love money???
[emoji1787][emoji1732]Weh pambana na hali yako bana
[emoji1787]hapo kwenye vijora nimecheka!Tatizo unapenda wanawake wenye muonekano mzuri (kimavazi na vitu wanavyo tumia). Ili uachanae na tabia ya kuruka ruka ni vyema utafute mwanamke wa daraja la kuendana na uwezo wako.
Ukipata ambae anavyaa vitenge, vijora, anasuka kawaida na hapendi kwenda na wakati sana unaweza akatulia na wewe.
Vya kupendeza vinahitaji kupendezeshwa!!!!
Wadau musalam!!!
Napitia changamoto saana kwenye hali yangu ya mahusiano kwa sasa...
Nimegundua nna moyo wa mapenzi ya dhati saana tatizo ni mkwanja yaani pesa inanifelisha mpaka napagawa yaani.
Yaani ipo hivi kwakuwa nimejaaliwa dizaini ya mwonekano wa mtu mwenye vijisenti so imekua rahisi kwangu kuwanasa watoto wazuri.
Shida inakuja kwenye expectations zao, yaani wanadhani mi ni bonge la danga la kutatua shida zao wakati binafsi zangu msoto mbaya.
Basi naishia kuwala na kuwekwa "sabu" roho inaniuma ila wananiambia tatizo hela sina hiyvo niwe mpole mpaka ifike zamu yangu.. Roho inaniuma naenda kwa mwengine napo ni ivo ivo
Mwisho najikuta kipindi kifupi nishawatafuna wengi bila kutegemea yote kwasababu ya pesa moyo unaniuma kwakuwa sijazoea kuwachezea...
Nawaza nitafute mtaalam ka vip aondoe chumba cha mapenzi kwenye ubongo wangu nisiwawaze kabisa wa nisiwe na hamu ya kula mzigo.. Nimejeribu Nofap nimefel coz mzuka wa kula mzigo ka nimetupiwa jini yaan na wakummiliki mwenyewe sina nnaowapata wanataka ni share sababu sina hela..
Swali
Wanawake kweli kabisa hamna true love?? You only love money???
Wadau musalam!!!
Napitia changamoto saana kwenye hali yangu ya mahusiano kwa sasa...
Nimegundua nna moyo wa mapenzi ya dhati saana tatizo ni mkwanja yaani pesa inanifelisha mpaka napagawa yaani.
Yaani ipo hivi kwakuwa nimejaaliwa dizaini ya mwonekano wa mtu mwenye vijisenti so imekua rahisi kwangu kuwanasa watoto wazuri.
Shida inakuja kwenye expectations zao, yaani wanadhani mi ni bonge la danga la kutatua shida zao wakati binafsi zangu msoto mbaya.
Basi naishia kuwala na kuwekwa "sabu" roho inaniuma ila wananiambia tatizo hela sina hiyvo niwe mpole mpaka ifike zamu yangu.. Roho inaniuma naenda kwa mwengine napo ni ivo ivo
Mwisho najikuta kipindi kifupi nishawatafuna wengi bila kutegemea yote kwasababu ya pesa moyo unaniuma kwakuwa sijazoea kuwachezea...
Nawaza nitafute mtaalam ka vip aondoe chumba cha mapenzi kwenye ubongo wangu nisiwawaze kabisa wa nisiwe na hamu ya kula mzigo.. Nimejeribu Nofap nimefel coz mzuka wa kula mzigo ka nimetupiwa jini yaan na wakummiliki mwenyewe sina nnaowapata wanataka ni share sababu sina hela..
Swali
Wanawake kweli kabisa hamna true love?? You only love money???
Kaka wewe wakule tuu wala usiwaone huruma hawa...wapelekee moto tuuWadau musalam!!!