Pesa hainunui mwanamke wa kweli, tulizana

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,727
Reaction score
13,466
Unaowa mwanamke mzuri unamwaga pesa kumshawishi, unampendezesha, unamfungulia biashara na kumweka kwenye nyumba ya kifahari, unajenga hadi ukweni kutafuta sifa

Alafu unakuta huyo mwanamke ana kisharobaro chake hakina kazi yoyote ,unakuta ni mpenzi wake wazamani na bado anampenda na kila wiki anamvulia nguo na kumlisha kupitia pesa ulizomwezesha,na wewe hujui , ila wewe kazi yako ni kumwaga pesa tu

[emoji115][emoji115] Wengi humu tupo, ila swala moja la msingi kumbukeni wakati mnatafuta wanawake wa kuowa msipende kujionyesha mna pesa maana wanaume wenyewe tumekuwa tukiwashawishi wanawake waje kwenye ndoa kutafuta pesa wakiwa na Target zao

Think mtu upo nae kwenye ucbumba tu ila ushamfungulia biashara,kumjengea na unafika kipindi unajenga hadi ukweni hivi unategemea hali ilivyongumu kuna mwanamke jobless atakataa kuja kwenye ndoa kukuvuna akishatajirika aondoke,jibu ni No

Wanawake wengi kwa sasa wapo kwenye ndoa kutafuta ahueni ya maisha ila sio kimapenzi, na ndio maana utakuta mwnamke ana mwanaume ana pesa ndefu ila nnje ana kijana maalum kazi yake ni kumlala tu na huyo kijana hatoi hata mia sana sana yeye ndio anahudumiwa
 
Unaowa mwanamke mzuri unamwaga pesa kumshawishi, unampendezesha, unamfungulia biashara na kumweka kwenye nyumba ya kifahari, unajenga hadi ukweni kutafuta sifa
Mwanamke ni pesa pesa pesa tu, hawana jingine usijidanganye na uhadisamu wako wanakuchora tu.
 
Kama ni Mpenzi wake wa Zamani hapo ana kosa gani?

Wewe ndo utakuwa umeingilia mapenzi ya watu.
 
Unaowa mwanamke mzuri unamwaga pesa kumshawishi, unampendezesha, unamfungulia biashara na kumweka kwenye nyumba ya kifahari, unajenga hadi ukweni kutafuta sifa
Tumeshawashuari vijana msioe shauri yenu. Wanawake hawa hawana mapenzi wanatafuta haueni ya maisha tu, inawauma sana kutumia hela zao kujilisha na kuendesha maisha yao.

Usioe kabisa. Tumia hela kupiga mbususu
 
Acheni wivu.....
Kwani akistarehe Mara moja moja na x wake ndio inapungua utamu?
Mwanamme ambaye hatembei nje ya ndoa anyooshe kidole.
Mkuki kwa nguruwe eeh
 
Unakwama wapi kiongozi, siku hizi tunanunua tendo la ndoa tu mapenzi ya kweli yako kwa wazazi na mbinguni tu.

Acha kuhangaika na mtu ambae hujazaliwa nae tumbo moja.
 
Tumeshawashuari vijana msioe shauri yenu. Wanawake hawa hawana mapenzi wanatafuta haueni ya maisha tu, inawauma sana kutumia hela zao kujilisha na kuendesha maisha yao.

Usioe kabisa. Tumia hela kupiga mbususu
Mwamba kila ukiwaza jibu linalokujia fasta vijana tusioe...sasa kaka tuolewe sisi au vipi
 
Mwamba kila ukiwaza jibu linalokujia fasta vijana tusioe...sasa kaka tuolewe sisi au vipi
🤣🤣🤣🤣Wewe unachotakiwa ni kifuata muongozo wetu kijana. Tumeona mengi. Tukikwambia usioe tunakuepusha majanga mengi
 
wakati umekakamaza shingo kuna babu zenu kule wanatimiza hayo yote.


tafta hela kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…