Pesa hainunui haramu!.

Pesa hainunui haramu!.

Halafu wana mtandao wao serikalini na mratibu mkuu ni waziri ambaye ni professor na katibu ni rafiki yangu ni Dr. wa linguistic UD. Ila sijui kama wamo humu maana wanaweza kunishtukia.
Kuyajua hayo yote mkuu uko parefu. Najua unaweza kutudodosa machache ila shida ukisema tu hii nyumba itabomolewa sekunde chache tusije tukalowa masika hii
 
Kwani Mkombe huyo Mwenyekiti wenu alijazia fomu gizani hamkumuona? Rainer kakulia Chala kasoma Kaengesa seminary kafanya kazi Benki kaoa Mazwi mlikuwa wapi?
Kusomea tz mkombe siyo tiketi ya kuwa sasa ndo uende ikulu.
Hata Joseph kabila yule bashite wa kongo kasomea elimu yake yote Tanzania mpaka jeshi kwa hiyo tayari ana kibali cha kuwa rais wa tz.
Ingekuwa wote wanaosomea elimu zao tz wangepata nafasi hizo basi ingependeza.
Sijakataa yeye kusomea wala kufanyia kazi tz wapo wengi bali afanyie kama mgeni siyo kumpeleka ikulu kama sasa.
Istoshe kaengesa seminary ni ruksa kusoma yoyote ili mradi awe mkatoliki.
Pale kantalamba secondary paliwahi tokea vita mbaya ya kutoa roho kati ya watusi na wahutu baada ya wote kufaulu kutoka kambi zao za mwese (tusi) na mishamo na Katumba (hutu) huko katavi kuchaguliwa wote kwenda form One kantalamba.
Serikali haikujifunza juu ya lile tukio.
 
Back
Top Bottom