Pesa fumbo la imani

You are back!!!
Not a word could explain how i felf when you said farewell. JF still needs your wisdom Bro.
Hope it working alringt now and am gald to see you back SnowBall.

Karibu sana. snowhite Pacha karudi. Tafadhali andaa vazi na ndama alienona kuliko wote.

i guess with money nothing is impossible..
go find money and your troubles will be no more..
 
Last edited by a moderator:
SHIDA YA PESA IKIISHA NA PESA INAKOSA KAZI....
 
Pesa ipo kwa ajili yakumaliza matatizo.
 


mkuu Tized
Nafurahi kukuta..
usiwaze mkuu..
nimerudi na nguvu mpya..
 
Last edited by a moderator:
Pesa inaweza kusolve kila tatizo?

Sio kila tatizo Bujibuji, mfano dokta amekuambia usile sukari au chumvi au mafuta pesa haitaweza kufanya ule vitu hivyo but pesa hiyo hiyo utaweza kupata njia mbadala kula vitu kula vizuri bado.
 
Last edited by a moderator:
Pesa ni jawabu ya mambo yote lakini kuna wakati pesa haiwezi kuwa jawabu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…