Habari za mida wakuu, naombeni msaada ni jinsi gani naweza kucheza Uefa na europa tournament kwenye hii game, maana nimejaribu lakini nimeshindwa, pia ni vipi naweza kupata wachezaji wazuri, wenye majina makubwa.
Pia kama kuna uwezekano wa ku hack coin na gp msaada pia