Peripheral neuropathy

Mkuu peripheral neuropathy inaweza kusababishwaa na
1:kisukari
2:ukosefu wa vitamin B12
3:baadhi ya madawa mfano dawa za kupunguza makali ya ukimwi ARV

MKUU TUMIA SANA SAMAKI ,NYAMA,MAINI,MAYAI N.K
 
Nimetumia sana neurobin,multvitamin,zincovit,nutravit,prednison,ligaba,amitriptyline nk,samaki na dagaa nnakula kwa sana maana nipo ziwani,ARV ctumii ningekuwa natumia nisingekuja hapa jukwaani kuuliza.
 
From my own experience.fanya mazoezi sana ya hivyo viungo mf kama ni vidole kunja kunjua nyoosha repeatedly kula matunda na mboga za majani.it worked a miracle to me after 1 month.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom