Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,912
- 132,351
Mkuu Sikonge, asante sana kunifungua macho!, kusema ukweli usilolijua ni kama usiku wa giza!. Kwa akili yangu fupi, nilipoona imeandikwa "tester" "not for sale", nikajua kwa vile tester lengo lake ni ku taste tuu na sio chakula lenyewe, nikajua hizi tester, wameweka ladha tuu ya kuonjeshea, hivyo haiwezi kuwa tamu kama chakula yenyewe!.Pasco,
Basi naona hufahamu vizuri mambo ya PERFUME. TESTER siku zote ni kwa ajili ya Promotion na huwa wanazitengeneza chache kwa ajili ya kuzigawa/kuziuza kwa bei nafuu. Wakati mwingine Wasambazaji wanaziiba na kuziuza badala ya kuwauzia kwa bei nafuu wanunuzi wa JUMLA au Wasambazaji wengine.
Hizi TESTER ndiyo zenye QUALITY ya juu ili kuvuta mteja. Ndiyo maana majina makubwa unakuta hata TESTER hawana au wanazo chache sana. Ila kusema ukweli, ukiona mtu anauza TESTER basi ujuwe hizo zimeibiwa sehemu kwani hazitakiwi KUUZWA ila kwa ajili ya watu kujaribu. Na ili iwe hivyo, basi lazima iwe quality ya juu ili watu wazipende. Huwezi kumuwekea mtu SAMPLE mbaya maana akishaonja tu, anakimbia. Inabidi ujitahidi UPIKE vizuri sana chache kama kivutio na wakipenda, ndiyo wanakuja kwenye hizi MASS PRODUCTION ambazo wewe ndiyo unafikiri ni HIGH Quality.
Nirudie tena, upungufu wa bei haimaanishi ni ubaya wake kwa sababu kubwa kwamba hizo ni kwa ajili ya kujaribia na si KUUZA. Watu huwa wanazikwapua na kuuza. Ni sawa na SINGLE za miziki kwa ajili ya Promotion ambazo hupelekwa kwenye Maradio na kwa ma DJ kwenye Madisco. Wakati mwingine wengine huziuza kwenye minada wakati ni makosa. Na kuna watu hununua hasa wanaokusanya miziki kwani humo unaweza kukuta wimbo fulani ambao upo hapo tu na ubora wake upo juu kwani Mass Production haijaanza kufyatua.
Pole sana, Mi nina allergy na vumbi sasa... Natesekaje...!Mi nana alergy sana na pafyum,yani mafua ndo mpango mzima mara chache saaaaaana na tumia tena iliyotulia saaaaaaana,lada niambie ambayo imetulia sana na bei yake na mm ninukie angalau mara moja moja.
Mkuu Sikonge, asante sana kunifungua macho!, kusema ukweli usilolijua ni kama usiku wa giza!. Kwa akili yangu fupi, nilipoona imeandikwa "tester" "not for sale", nikajua kwa vile tester lengo lake ni ku taste tuu na sio chakula lenyewe, nikajua hizi tester, wameweka ladha tuu ya kuonjeshea, hivyo haiwezi kuwa tamu kama chakula yenyewe!.
Sasa nitazinunua hizo tester kwa moyo mkunjufu!.
P.
Mkuu Sikonge, asante sana kunifungua macho!, kusema ukweli usilolijua ni kama usiku wa giza!. Kwa akili yangu fupi, nilipoona imeandikwa "tester" "not for sale", nikajua kwa vile tester lengo lake ni ku taste tuu na sio chakula lenyewe, nikajua hizi tester, wameweka ladha tuu ya kuonjeshea, hivyo haiwezi kuwa tamu kama chakula yenyewe!.
Sasa nitazinunua hizo tester kwa moyo mkunjufu!.
P.
Asante mkuu Doltyne, acha tujipange pange nitakupa order za zile brand ambazo hazina tester, wengine wetu na mimi nikiwemo, its the "contents" that maters not the decors!. Kwa sababu all my favourates ziko available on testers nitamuomba BJ anishauri some new trials, nahisi we share the same taste!. Hivyo nitapenda kujaribu only zile ambazo ameshazitumia yeye!.Mkuu Hapo kwenye Nyekundu Panahusika Sana....Smell It and Buy The Original Merchandise... KAribu Sana Uweke Order.
Im Now Taking Orders For November's Delivery, and If all goes Well, Late October.
Kwa Dar, Rosana anajitahidi sana, na baadhi tuu ya maduka, yapo maduka ya heshima na heshima zake, wanauza counterfeit hadi Mlimani City!. Ukienda super markets nyingi nying siku hizi unazikuta Essay Miyake, Kouros, Dior, Calvin Clein, Armani etc za kumwaga kiukweli, hakuna kitu!.
Asante mkuu Doltyne, acha tujipange pange nitakupa order za zile brand ambazo hazina tester, wengine wetu na mimi nikiwemo, its the "contents" that maters not the decors!. Kwa sababu all my favourates ziko available on testers nitamuomba BJ anishauri some new trials, nahisi we share the same taste!. Hivyo nitapenda kujaribu only zile ambazo ameshazitumia yeye!.
P.
Hahaha, Mkuu Kuna kitu nadhani unashindwa kukielewa... Biashara sio tu Wapi utapata Cheap....Ndio maana kuna chefs Pride na Marry's, Saffron na Break Point... Inategemea Unataka Kula nini Kwa wakati gani na kwa upishi upi...halafu bei ndio inakuwa ya mwisho. Mi ninachoguarantee ni Hutokuja Kununua Replica kutoka kwangu... Halafu Mass Salling Haziwezi Kwendana na itemized Selling... Kuna watu wanaMitaji ya Milioni 100 wanaingiza Perfumes, Hawawezi Kufanana na Sisi wa Kilo 100 za Sh Milioni 20.... Kuna Nyingine anauza kwa faida ya elf20 na Nyingine anauza kwa faida ya Laki Moja kwahiyo zinalipana zenyewe kwa zenyewe... Nadhani Umenielewa...Mi nafanya Hand Picking Mzee, kutokana na Soko lilivyo... Pia Jamaa Hauzi tu Perfumes, lazima kuna vitu vingine anauza kwa bei za kukomoa ila hauwezi kuona kwakuwa unapoenda kwake interest yako inakuwa Perfume ambayo unahisi Umenunua rahisi... NB: Jana Nilipita Duka Moja Nikakuta Wanauza perfume ambayo mimi nauza elf50 wao wanaiuza 120,000... Nikacheka nikaondoka zangu... and Yes Kuna watu watanunua... So kama wewe unavyoona Mfanya Biashara Mimi Nipo Expensive Kuna watu wananiona Nipo CHeap, Ndio maana Perfumes Huwa hazikai zaidi ya wiki moja zinakuwa zimeshaisha...In a Nutshell Business is Good, and its from people like you we prosper by thinking of the challenges you bring in... Thanks.Kweli kabisa; na bei zake sio mbaya kama huyu mfanyabishara Doltyne.
Penelope, if this is true and not a joke, yaani haya usemayo kama ni kweli uliposoma, umesikia harufu fulani ya perfum, then you have powers zinazoitwa PSI za smell, hizo zinatokana na PSI Powers, ni nguvu za ajabu zinazoitwa wengine huziita parapsychology inspiration, yaani mind yako ina uwezo wa kupokea imaginary signals ukaziconvert into reality, yaani "mind sugestibilitly"Ha yani nimesoma hii post mpaka computer yote nasikia inanukia pafyum
Ok to start with, naanza na hiyo. Confirmed nimeweka order, Nitumie bei na utaratibu wa malipo usinichinje sana maana sina haraka ki vile, ukichinja sana, nitamtuma BJ huwa anasafiri sana, hivyo utaishia kukosa biashara nami. Sijisifu ila mimi ni mnunuzi mzuri wa perfums!. Huyo dada wa UK akitua na hizo testers zake, I spend almost 1,000,000 plus for me, her with my 6 kids!. Uzuri wake kwake its not only perfums bali naleta na items nyingine ndogo ndogo za soap soap!.hakuna Shaka mkuu, Nakushauri Uijaribu Jean Paul Gaultier KOKORIKO... Ni Balaa aisee... Unaweza kutembea watu wanakufata nyuma... Halaf imepoa sana, haina hata makelele...Sio zile perfume mtaa wa pili wananusa...
Karibu Sana Mkuu,Ok to start with, naanza na hiyo. Confirmed nimeweka order, Nitumie bei na utaratibu wa malipo usinichinje sana maana sina haraka ki vile, ukichinja sana, nitamtuma BJ huwa anasafiri sana, hivyo utaishia kukosa biashara nami. Sijisifu ila mimi ni mnunuzi mzuri wa perfums!. Huyo dada wa UK akitua na hizo testers zake, I spend almost 1,000,000 plus for me, her with my 6 kids!. Uzuri wake kwake its not only perfums bali naleta na items nyingine ndogo ndogo za soap soap!.
P.
Nimeconfirm 100mls, nimekutumia 20% kwa M-Pesa kwenye number yako as an advance payment, ukileta nitamalizia 80%.Karibu Sana Mkuu,
Kokoriko 100mls inauzwa 250,000/=
NB: Kwa Mawasiliano zaidi tutaftane kwenye simu namba 0714881500.
I've just recieved it. Thanks. Your order is on the way. U got me thinking right there, I was like where is this munnie coming from... Halaf nikakumbuka utakuwa ni wewe tu, ndio nikalog in nidouble check.Nimeconfirm 100mls, nimekutumia 20% kwa M-Pesa kwenye number yako as an advance payment, ukileta nitamalizia 80%.
P.
No prob.I've just recieved it. Thanks. Your order is on the way. U got me thinking right there, I was like where is this munnie coming from... Halaf nikakumbuka utakuwa ni wewe tu, ndio nikalog in nidouble check.
Nb: txt me ur no p'se.
Hahaha, Mkuu Kuna kitu nadhani unashindwa kukielewa... Biashara sio tu Wapi utapata Cheap....Ndio maana kuna chefs Pride na Marry's, Saffron na Break Point... Inategemea Unataka Kula nini Kwa wakati gani na kwa upishi upi...halafu bei ndio inakuwa ya mwisho. Mi ninachoguarantee ni Hutokuja Kununua Replica kutoka kwangu... Halafu Mass Salling Haziwezi Kwendana na itemized Selling... Kuna watu wanaMitaji ya Milioni 100 wanaingiza Perfumes, Hawawezi Kufanana na Sisi wa Kilo 100 za Sh Milioni 20.... Kuna Nyingine anauza kwa faida ya elf20 na Nyingine anauza kwa faida ya Laki Moja kwahiyo zinalipana zenyewe kwa zenyewe... Nadhani Umenielewa...Mi nafanya Hand Picking Mzee, kutokana na Soko lilivyo... Pia Jamaa Hauzi tu Perfumes, lazima kuna vitu vingine anauza kwa bei za kukomoa ila hauwezi kuona kwakuwa unapoenda kwake interest yako inakuwa Perfume ambayo unahisi Umenunua rahisi... NB: Jana Nilipita Duka Moja Nikakuta Wanauza perfume ambayo mimi nauza elf50 wao wanaiuza 120,000... Nikacheka nikaondoka zangu... and Yes Kuna watu watanunua... So kama wewe unavyoona Mfanya Biashara Mimi Nipo Expensive Kuna watu wananiona Nipo CHeap, Ndio maana Perfumes Huwa hazikai zaidi ya wiki moja zinakuwa zimeshaisha...In a Nutshell Business is Good, and its from people like you we prosper by thinking of the challenges you bring in... Thanks.
Je, perfume hizi za kiume mnazo? shs ngapi hata kama mnaleta kwa order?
1. C/Dior Homme Intense 100ml
2. Bleu de Chanel 100ml
3. D&G Light Blue 125ml
Thanks!!