Mkuu ulinunua wapi?...sijapata wasaa wa kusafiri na kunua kama duty free naona bei za hapa home ni kubwa kidogo kwa mfano pale Mlimani inauzwa 150000 na hapa jamvini naona jamaa anasema anayo kwa 260000
mkuu manyanza hapo nilipo-bold nadhani kama vile hapana tija kwa wadau wengi wa jf...kweli mkuu unataka kuficha deal kama hilo ambalo wengi tunge-save kitu kama laki 2 in a singe shopping ya perfume....
Acha hizo mkuu weka deal mezani kila mtu ajue atafikaje hapooo vunja bei shop...ila kama vile utakuwa unaua soko la mwenye-mada yake.
Mkuu, kwa bei ya 15000 chupa labda iwe ndogo ila kwa 3.4 huwezi kupata kwa bei hiyo. Hiyo ni bei ya madukani kwenyewe kwenye DUTY FREE. Sasa ukiongeza na usafiri, faida, gharama ndogondogo, ndiyo inakuwa kwenye bei hiyo aliyotoa jamaa.
Kuna sehemu ninaweza kuja kuanza kuziuza mwakani mwishoni hizi PERfUME za bei juu ila dukani kwenyewe ntakaponunulia, wanauza kwa bei ya $80. Sasa ukiongeza na kodi, usafiri na bughudha nyingine, huwezi kupata kwa hiyo bei ya $100. Labda kama mtu ANAKUVULIA au ulimuagizia au KAIBA.
Mna Products za Channel......jina la perfume ni ALLURE. Je na Hizo mnazo/
hiyo shop ipo Zenji na mimi mara nyingi hua nipo pale na kila week end nakua Dar nikipita pale shop nitaziulizia kama zipo nitawajulisha hamna tatizo
Belinda Jacob, that mens you think like men, not 'feel' like women!. Mr akipenda za kike, ingekuwa balaa!. Ila pia usishangae, wako mijiaume sio tuu inatumia perfums za kike, mpaka inavaa ...za kike!.
Yes I would like to try as many as I can, kwa kawaida huwa nafanya shopping yangu ya perfums kwenye inflight magazine au duty free shops en route. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitumia CK One, hiyo ndiyo always ninayo, safari fulani niliijaribu PACO nikaipenda, kila nikiiulizia sijawahi tena kuikuta popote mpaka niliposafiri tena, ndipo nikajua kuna baadhi ya perfums wanatengeza za kuuza duty free shops za inflights ya baadhi tuu ya mashirika ya ndege. Pia ninaipenda Farheight. Kwa kawaida hununua baadhi na kujikuta nimeishia kuzigawa kwa my boys. Binti yangu nae anafuata tabia ya mama yake, kupenda men's fragances.
Kwa Dar, Rosana anajitahidi sana, na baadhi tuu ya maduka, yapo maduka ya heshima na heshima zake, wanauza counterfeit hadi Mlimani City!. Ukienda super markets nyingi nying siku hizi unazikuta Essay Miyake, Kouros, Dior, Calvin Clein, Armani etc za kumwaga kiukweli, hakuna kitu!.
Yuko dada mmoja wa UK anaduka lake Mbezi Beach, yeye pia anajitahidi kuleta few genuine from UK na ma famba kibao!. The good thing about yeye, nyingi ya zile famba zimeandikwa kabisa ni "tester" hivyo concentration yake ni a bit low, nimenunua machupa yangu makubwa mawili ya CK One, 200mils kwa 200,000 each!. Bei zake ni reasonable ila most of them ni "opened items" lakini genuine!. Big names zozote ukitaka anakuletea by order.
Pia kuna Mhe. Mbunge mmoja mdada, ana kiduka chake pale bakery ya Mlalakuwa, yeye ananunua kwenye ndege, hivyo halipi duty tena anapitia VIP, ila bei ana kamua!, kale ka CK One kadogo, nadhani 25 mls amenipiga kwa 180,000!. I had to take it tuu kwa sababu kako handy kanakaa kwenye gari!.
Kwa vile wewe uko huko, nifanyie collection mimi nitarekebisha, hawa wafanya biashara wanatuchinja sana, kutonyonga mpaka kutaka kutuua!. P.
Leo nimepata msamiati mpya hapa, "Unyunyu".Yaani Pasco inaelekea unapenda sana unyunyu maana maeneo mengi mjini wanapouza unapajua. Sijawahi kununua perfume mjini lakini napajua mlimani city tu sababu ya kupita pita pale. CK one nilishanyunyuzia, ilimuishia Mr. Hiyo Paco pia naipata. Lazima zinakuishia mapema maana ubavu wako nae anakusaidia kutumia.
Mimi huwa sifanyi biashara ya perfume ila nawaletea family&friends wakiniagiza vile nasafiri mara nyingi na ninapata kwa tax free hivyo price inakuwa chini, sealed&genuine.
Collection yangu ambazo zote ni EDP haikosi my old&favourite Chanel Allure plus naijaribu sasa Coco Madmoiselle, pia ninayo Mac Jacobs (Daisy)..C/Dior aina ya J'adore L'or&Miss Dior Cherie nayo ipo kwa collection..Givenchy-play for her nilijaribu ya puple bottle ila sikuongeza kwa collection. Estee Lauder ninayo ya Pleasures na Sensuous.. new Lancome perfume ya La vie est belle nimeiongeza karibuni. I like to try out & keep up with what's new in the world of perfumes.
Kama bado hebu jaribu CD Homme Intense EDP utaipenda nionavyo. Mr anaitumia sasa, pia siachi kuibia Bleu de Chanel na ana very old Givenchy blue..ndiyo maana nataka nimnunulie zote kurudishia nitumiavyo.
Bora tumepata mtu hapa JF na anajitangaza vizuri tumuunge mkono!!
Leo nimepata msamiati mpya hapa, "Unyunyu".
Yaani Pasco inaelekea unapenda sana unyunyu maana maeneo mengi mjini wanapouza unapajua. Sijawahi kununua perfume mjini lakini napajua mlimani city tu sababu ya kupita pita pale. CK one nilishanyunyuzia, ilimuishia Mr. Hiyo Paco pia naipata. Lazima zinakuishia mapema maana ubavu wako nae anakusaidia kutumia.
Mimi huwa sifanyi biashara ya perfume ila nawaletea family&friends wakiniagiza vile nasafiri mara nyingi na ninapata kwa tax free hivyo price inakuwa chini, sealed&genuine.
Collection yangu ambazo zote ni EDP haikosi my old&favourite Chanel Allure plus naijaribu sasa Coco Madmoiselle, pia ninayo Mac Jacobs (Daisy)..C/Dior aina ya J'adore L'or&Miss Dior Cherie nayo ipo kwa collection..Givenchy-play for her nilijaribu ya puple bottle ila sikuongeza kwa collection. Estee Lauder ninayo ya Pleasures na Sensuous.. new Lancome perfume ya La vie est belle nimeiongeza karibuni. I like to try out & keep up with what's new in the world of perfumes.
Kama bado hebu jaribu CD Homme Intense EDP utaipenda nionavyo. Mr anaitumia sasa, pia siachi kuibia Bleu de Chanel na ana very old Givenchy blue..ndiyo maana nataka nimnunulie zote kurudishia nitumiavyo.
Bora tumepata mtu hapa JF na anajitangaza vizuri tumuunge mkono!!
Kliki, nasikitika sana kushindwa kukupa bei ya orilflame (men).... Hatuuzi products zinazouzwa kwa network marketing.... Hii ni kwasababu uhakiki wa ubora na uhalisia unatutaza katika hilo.... Perfume tuuzazo ni Zile ambazo zinauzwa kwenye UK retail shops. Ila nipe muda kidogo ntakufanyia utafiti, sasa hv nakujibu kwa kutumia simu.Naomba kujua bei ya Orflame (men) zipo aina kama tatu za men
Aah yaani wewe wacha tu, huku kijijini bwana halafu ukishakuwa mvuvi yaani ni balaa. Kuna mjanja mmoja huwa anakuja kutulangua huku, mimi huwa ananiletea ile "Allure Homme Channel" naipenda balaa. Zamani alikuwa ananilangua na "BVLGARI Pour Homme" SOIR ila sasa hivi haniletei tena hiyo. Vipi wewe hupendi "Opium YveSaintLaurent"?. Hizo anazo pia kama vipi nikuletee!.Acha hizo bwana, unyunyu mbona slang ya kitambo sana...hamia mjini bwana, tatizo la kijijini husikii mengi..ha ha
wewe unapulizia unyunyu gani besti??
Yuko dada mmoja wa UK anaduka lake Mbezi Beach, yeye pia anajitahidi kuleta few genuine from UK na ma famba kibao!. The good thing about yeye, nyingi ya zile famba zimeandikwa kabisa ni "tester" hivyo concentration yake ni a bit low, nimenunua machupa yangu makubwa mawili ya CK One, 200mils kwa 200,000 each!. Bei zake ni reasonable ila most of them ni "opened items" lakini genuine!. Big names zozote ukitaka anakuletea by order.
Ndugu Kuwa makini sana na product za bei chee... DESIGNER PERFUMES are Expensive for a REASON...Kuna counterfreight products nyingi sana sokoni. ... na Cha kusikitisha zipo mpaka sehemu reputable kama vile Mlimani city na Pharmacy Nyingi sana mjini hapa.
Hahaha, Karibu Ununue Unukie na wewe sasa... Manaake naona kama computer imepata kaupendeleo kidogo..! wink🙂
Opium na Jazz kwa maoni yangu ziko too strong, too heavy smell and very distinct!. Na prefer cool smells kama CK, cool water, etrrnity etc.Kumbe kuwa kote mvuvi una taste nzuri za perfume au huyo jamaa yako ndo anakuchagulia?? kwa vile unapenda chanel, jaribu de bleu hutakuwa disappointed. Opium YSL nimetumia kitambo sana, nifanyie mpango mniletee nitashukuruje!! Umewahi kutumia any YSL perfumes? Jazz ilinikonga sana.