Sisi wenye manyama uzembe halafu tumeshuka chini vifutu, Sir God alikosea?
Sisi wenye manyama uzembe halafu tumeshuka chini vifutu, Sir God alikosea?
Mkuu nielekeze njia ya kufika huko.Ukienda jukwaa la kuleeeeee, utakuta pako wazi. Hapa pana watoto unajua na hili ni somo maalunu ya kumsifia Sir God jinsi Hesabu zake zilivyo za uhakika!
Sisi wenye manyama uzembe halafu tumeshuka chini vifutu, Sir God alikosea?
Nyie wa shetani jamaniSisi wenye manyama uzembe halafu tumeshuka chini vifutu, Sir God alikosea?
mawazo yaake huyoo mtoa mada.Mungu aliumba wote sawa.Nimemkubali Sir God. Kitu namba 8. Mguu wa Uhakika. Kifua usiseme. Totoz original inatakiwa iwe imepanda juu na hakuna nyama uzembe wala mapaja kusuguana.
Haluuuuu!
Ukienda jukwaa la kuleeeeee, utakuta pako wazi. Hapa pana watoto unajua na hili ni somo maalunu ya kumsifia Sir God jinsi Hesabu zake zilivyo za uhakika!
Hapo umeziba au paliumbwa hivyo au wewe ndio umekosea kuziba?
Ankal Haja-Tweet tena? lol!
Haaaa haaaa ED umenichekesha. Kwa maoni yangu ration haijalishi kama umepanda juu au umeshuka chini. Ina maana kwa urefu wowote lazima upate ration hiyo kama utakuwa katika "Divine Proportion". Nyama uzembe nadhani inarekebishika kwa mazoezi na kuacha kula kula Chips zege nk nk. lol!
Uchokozi tena....tumehamia form nyingine ya communique......kwetu pazuri......lol
Habari za masiku big boss?