Per Diem Rates 2015/2016

Per Diem Rates 2015/2016

Naipuli

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
266
Reaction score
110
Habari zenu waungwana.
Naomba kufahamishwa viwango vya PERDIEM kwa wafanyakazi wa Serikali kwa mwaka 2014/2015 au 2015/2016.
Natanguliza shukrani zangu.
 
Kwa mfano tanroads salary scale 4.1-6.1 wilayani 80,000/= Manispaa na jiji 100,000
 
TGS A - C 80,000; D - G; 100,000 na above ni 120,000
 
Sorry, taarifa haikukamilika.
Lakini nilikusidia kwa kada ya Afya kwa ngazi za Certificate, Diploma, Degree etc (i.e: TGHS A1, B1, C1, D1 etc), kwa kuzingatia Wilayani, Jijini n.k.
 
Natumaini John Pombe atafutilia mbali huu "unyang'anyi" uliodumu kwa muda mrefu...
 
Huu ni unyonyaji wa mchana kweupe. Kwa kazi gani watumishi wa uma wanayoifanya hadi walipane hayo mapesa mengi namna hiyo? Halafu bado mnaimba nchi ni maskini wakati kuna hili kundi la wanaotuibia pesa zetu
 
Unakumbuka waheshimiwa bungeni wakiandika jina tu wanalipwa kiasi gani?
 
Back
Top Bottom