Jamani mwenzenu naingiliwa na mke wa mtu hapa muda huu,anasukuma mlango wangu anataka aje kwangu et kulala kisa kakorofishana na mumewe.
Kanipigia simu mara tatu sijapokea,pia katuma na texts.Me SITAKI,Ooooh! Mungu nisaidie.
Ukitaka ushahidi PM me nitakutumia hata text,kwel tembea uone.......................
yupo hivi au kapigwa pasi??
tuanzie hapo
yupo hivi au kapigwa pasi??
tuanzie hapo
Mpe Chakee Huyoo!
Nimekuja mbio nikijua kutakuwa kuna bonge la skendo humu kumbe ishu yenyewe ndo hii .NGOJA NIPITE TU ila INABOA KWELI
Jamani mwenzenu naingiliwa na mke wa mtu hapa muda huu,anasukuma mlango wangu anataka aje kwangu et kulala kisa kakorofishana na mumewe.
Kanipigia simu mara tatu sijapokea,pia katuma na texts.Me SITAKI,Ooooh! Mungu nisaidie.
Ukitaka ushahidi PM me nitakutumia hata text,kwel tembea uone.......................
hawa ni wa ukweli au wakuchorwa?
haiwezekani wamzidi meson-gang.