kifinga JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 5,249 Reaction score 9,577 Oct 24, 2017 #21 Somji Juma said: Kwani umebakwa.? Click to expand... kateleza mkuu si unajua tena mambo ya utelezi
J JWKRMM JF-Expert Member Joined Sep 17, 2017 Posts 1,573 Reaction score 1,041 Oct 24, 2017 #22 shumpert said: Post-exposure prophylaxis Click to expand... Inafanya nini ni kinga ya HIV?
kifinga JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 5,249 Reaction score 9,577 Oct 24, 2017 #23 kenge 10 said: Vibao vya jogoo hatupasuagi condom. RIP Click to expand... jamaa anaonekana alikua na ukame akasugua sana ha ha ha ha ha alafu ikipasukia mule ndani unaona utam unazidi so unaona kuchomoa udwanzi unaendelea
kenge 10 said: Vibao vya jogoo hatupasuagi condom. RIP Click to expand... jamaa anaonekana alikua na ukame akasugua sana ha ha ha ha ha alafu ikipasukia mule ndani unaona utam unazidi so unaona kuchomoa udwanzi unaendelea
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,201 Reaction score 28,088 Oct 24, 2017 #24 Ukienda hospital utapimwa kwanza ngoma, ili usije ukawamalizia dawa zao kumbe tayari zamaani!
N Neelie Member Joined Oct 3, 2015 Posts 75 Reaction score 136 Oct 25, 2017 #25 Kila la kheri ila jiandae kupambana na maudhi ya pep hizo dawa nilizipigia salute!!!
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,348 Reaction score 13,377 Oct 25, 2017 #26 Ninazo,laki nne ipo??
L Lihove2017 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 423 Reaction score 560 Oct 25, 2017 #27 Yes .nenda Morogor hospital.ila watakupima kwanza kujua kwamba bado hukuwa na maambuzi kabla ya kupata pancha.ukikutwa otherwise utaanzishiwa ARV
Yes .nenda Morogor hospital.ila watakupima kwanza kujua kwamba bado hukuwa na maambuzi kabla ya kupata pancha.ukikutwa otherwise utaanzishiwa ARV
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,023 Reaction score 13,370 Oct 25, 2017 #28 Lihove2017 said: Yes .nenda Morogor hospital.ila watakupima kwanza kujua kwamba bado hukuwa na maambuzi kabla ya kupata pancha.ukikutwa otherwise utaanzishiwa ARV Click to expand... Hapo ndo utata uliopo!!
Lihove2017 said: Yes .nenda Morogor hospital.ila watakupima kwanza kujua kwamba bado hukuwa na maambuzi kabla ya kupata pancha.ukikutwa otherwise utaanzishiwa ARV Click to expand... Hapo ndo utata uliopo!!
mundhirxxx Member Joined Oct 17, 2017 Posts 9 Reaction score 13 Oct 25, 2017 #29 kuuliza sio ujinga km huji halafu hulizi ndio ujinga wa mwisho hiyi (pep) nikitu gani au inamaana gani
kuuliza sio ujinga km huji halafu hulizi ndio ujinga wa mwisho hiyi (pep) nikitu gani au inamaana gani