Msipende kila kitu kukiendesha kwa connection, hadi PEP za bure mnataka kuzipata kwa connection?Usiku huu ataweza pata huduma?
avatar yako nusu nikwangue kiooMsipende kila kitu kukiendesha kwa connectiin, hadi PEP za bure mnataka kuzipata kwa connection?
Nenda kwenye health facility yoyote ile.
PEP anatakiwa aipate ndani ya masaa 72.
Halafu mbona siku hizi kuna PREP?
Hawatakuelewa watoto wa mama SamiaKama una mtu unamjua ana ARV basi nenda kamuombe kidonge kimoja. Meza hicho alafu asubuhi kachukue zako.
Dawa ni hizo hizo.
NakaziaAcha UZINZI, watu kama wewe ndio mnaotuchelewesha kupata Katiba mpya
Mimi ndo namalizia kukwangua hapa kumbe inzi yu ndani.avatar yako nusu nikwangue kioo
Pep ndani ya masaa 48 zinafanya kazUsiku huu ataweza pata huduma?
Dogo husomi NIT?Members, kuna emergency imetokea mdau wangu anahitaji PEP kuna mahala kaharibu kazi. Yuko tabora mjini. Anazipata wapi au kama kuna yoyote anaweza msaidia kupata huu msaada. 4 hours tangu tukio litokee.
Mkuu nimetembelea Uzi wote nikidhani nitaambulia maana ya hyo PEP holaa. Nini maana yake? Na hiyo PREP?Msipende kila kitu kukiendesha kwa connection, hadi PEP za bure mnataka kuzipata kwa connection?
Nenda kwenye health facility yoyote ile.
PEP anatakiwa aipate ndani ya masaa 72.
Halafu mbona siku hizi kuna PREP?
PEP - Post Exposure Prophylasis.Mkuu nimetembelea Uzi wote nikidhani nitaambulia maana ya hyo PEP holaa. Nini maana yake? Na hiyo PREP?
Shukran sana mkuuPEP - Post Exposure Prophylasis.
Kwa ajili ya watu ambao wamekutana na mazungira hatarishi yanayoweza kupelekea maambukizi ya Virusi vya UKIMWI. Mfano, kumwagikiwa damu ambayo haikupimwa au iliyopimwa na kukutwa Virus vya UKIMWI.
Kuji prick, (kujichoma sindano) wakati wa either kuchukua damu ya muathirika au sindano iliyotumia kwa muathirika.
PrEP - Pre Exposure Prophylasis
Hizi ni dawa kinga. Hunywewa kabla ya kujilipua. Ni dawa zinatumiwa na watu ambao hawataki kuvaa condom wala hawataki kujua status ya mtu. Baada ya kupata ushauri wa kitaalam, ukitumia hizi dawa unaweza ukawa unauza mechi bila wasiwasi na maambukizi haupati.
NI masaa 24Usiku huu ataweza pata huduma?
Dah we jamaaAcha UZINZI, watu kama wewe ndio mnaotuchelewesha kupata Katiba mpya
ni yeye mwenyewe huyu anazuga tuSasa si aende hospital ctc clinic huko atahudumiwa
Mkuu, habari!Members, kuna emergency imetokea mdau wangu anahitaji PEP kuna mahala kaharibu kazi. Yuko Tabora mjini. Anazipata wapi au kama kuna yoyote anaweza msaidia kupata huu msaada. 4 hours tangu tukio litokee.