PEP inapatikana wapi?

PEP inapatikana wapi?

Members, kuna emergency imetokea mdau wangu anahitaji PEP kuna mahala kaharibu kazi. Yuko Tabora mjini. Anazipata wapi au kama kuna yoyote anaweza msaidia kupata huu msaada. 4 hours tangu tukio litokee.
Aende na PF3 ya police.Maana kuna harufu ya jinai ndani yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom